“Sijawahi kuona simu kama hii Tanzania na duniani kote”
Fahamu

“Sijawahi kuona simu kama hii Tanzania na duniani kote”

Kwa sasa hivi ukitaja simu nzuri na kisasa zaidi duniani huwezi kusita kuitaja Infinix S5 ambayo imeingia sokoni wiki mbili…
Biashara zitaendaje endapo Internet itazimika?
Events

Biashara zitaendaje endapo Internet itazimika?

Tangu kuingia kwa Internet Tanzania na Dunia nzima, Biashara nyingi zimepata namna ya kujitangaza kwa kufikia wateja wao kwa urahisi,…
MAREKANI: Wasanii wawili kutoka Afrika watajwa kuwania tuzo za Grammy 2020
Awards

MAREKANI: Wasanii wawili kutoka Afrika watajwa kuwania tuzo za Grammy 2020

Wasanii wawili kutoka Afrika, Rapper Burna Boy kutoka Nigeria na mchekeshaji Trevor Noah kutoka Afrika Kusini wametajwa kuwania tuzo za…
Producer aliyesababisha wimbo wa UNO wa Harmonize kufutwa YouTube, Atoa onyo kali kwa wasanii wanao-copy kazi zake
Burudani

Producer aliyesababisha wimbo wa UNO wa Harmonize kufutwa YouTube, Atoa onyo kali kwa wasanii wanao-copy kazi zake

Mtayarishaji wa muziki nchini Kenya, Magix Enga amesema kuwa hatovumilia kuona wasanii wanatumia kazi zake (sampling) bila kibali chake na…
Simu ya kwanza yenye kamera kubwa zaidi ya mbele duniani, Yazinduliwa Tanzania (+Video)
Technology

Simu ya kwanza yenye kamera kubwa zaidi ya mbele duniani, Yazinduliwa Tanzania (+Video)

Baada ya Infinix kuliteka soko na toleo pendwa la Infinix S4, Infinix imezindua toleo jipya la Infinix S5. Hii inakuwa…
Instagram waanza rasmi kuondoa ‘Likes’ nchini Marekani, Kim Kardashian aunga mkono ‘Nicki Minaj atangaza kujitoa’
Habari

Instagram waanza rasmi kuondoa ‘Likes’ nchini Marekani, Kim Kardashian aunga mkono ‘Nicki Minaj atangaza kujitoa’

Mtandao wa Instagram wiki hii umeanza rasmi kuondoa ‘Likes’ kwenye posts za watumiaji wa mtandao huo nchini Marekani, Jambo ambalo…
LUDEWA: Watakaokaidi kulima zao za biashara kukamatwa na kuswekwa rumande
Habari

LUDEWA: Watakaokaidi kulima zao za biashara kukamatwa na kuswekwa rumande

Mkuu wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, Andrea Tsere ametangaza kuwaswekwa rumande wananchi watakaokaidi kulima zao la biashara. RC Tsere…
KENYA: Majina na picha za wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu kuwekwa hadharani
Habari

KENYA: Majina na picha za wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu kuwekwa hadharani

Bodi ya Mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu nchini Kenya (HELB), Inatarajiwa kuchapisha majina na picha za wale wote…
Madam Rita ajibu malalamiko ya kijana Hamisi kutolewa kwenye mashindano ya BSS
Burudani

Madam Rita ajibu malalamiko ya kijana Hamisi kutolewa kwenye mashindano ya BSS

Usiku wa kuamkia leo Jumatatu Novemba 18, 2019 wafuatiliaji wa kipindi cha Bongo Stars Search wamechukizwa na kitendo cha mshiriki…
Simba wavamia zizi na kuua ng’ombe 20, Mmiliki asimulia kwa majonzi ‘Nitaanzaje maisha haya’
Habari

Simba wavamia zizi na kuua ng’ombe 20, Mmiliki asimulia kwa majonzi ‘Nitaanzaje maisha haya’

Kundi la wanyampori aina ya simba kutoka katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (SENAPA) mkoani Mara, wamevamia zizi la mkazi…
ITALIA: Kocha afukuzwa kazi kwa timu yake kushinda goli 27-0
Michezo

ITALIA: Kocha afukuzwa kazi kwa timu yake kushinda goli 27-0

Katika historia ya mpira wa miguu duniani, Mara nyingi kocha hufukuzwa  baada ya kufanya vibaya lakini sio kwa Kocha wa…
DARUSO watoa siku moja kwa wauza vyakula UDSM wapunguze bei
Habari

DARUSO watoa siku moja kwa wauza vyakula UDSM wapunguze bei

Jumuiya ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) imetoa siku moja kwa watoa huduma za vyakula kupunguza bei…
Wimbo wa Harmonize ‘MAGUFULI’ watikisa bungeni (+Video)
Burudani

Wimbo wa Harmonize ‘MAGUFULI’ watikisa bungeni (+Video)

Mbunge wa Viti maalum, Amina Mollel (CCM) atumia wimbo ‘ Magufuli’ wa Harmonize kumpongeza kwa kuteua Balozi na Naibu Waziri…
Hati yatolewa viongozi wanne wa CHADEMA wakamatwe, Yupo Halima Mdee na Ester Bulaya
Habari

Hati yatolewa viongozi wanne wa CHADEMA wakamatwe, Yupo Halima Mdee na Ester Bulaya

Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu leo Novemba 15, 2019 imetoa hati ya kukamatwa kwa viongozi wanne wa CHADEMA akiwemo…
RC Makonda amkaribisha Waziri Mkuu Fiesta Dar ‘Njoo ule bata kidogo’ (+video)
Burudani

RC Makonda amkaribisha Waziri Mkuu Fiesta Dar ‘Njoo ule bata kidogo’ (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda amemualika Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aje Dar kutazama kilele cha…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents