“Muziki wa Bongo Fleva hausikilizwi kabisa Afrika Kusini, Labda Tetema ya Rayvanny” – DJ Vasley
Burudani

“Muziki wa Bongo Fleva hausikilizwi kabisa Afrika Kusini, Labda Tetema ya Rayvanny” – DJ Vasley

DJ maarufu hapa Tanzania, DJ Vasley ambaye ameshawahi kufanya kazi na Davido, Diamond na Vanessa Mdee amesema kuwa licha ya…
Eddy Kenzo akutana uso kwa uso na Rais Museveni, Baada ya kuanza kampeni ya kuikosoa serikali mitandaoni
Habari

Eddy Kenzo akutana uso kwa uso na Rais Museveni, Baada ya kuanza kampeni ya kuikosoa serikali mitandaoni

Msanii maarufu nchini Uganda, Eddy Kenzo amefanikiwa kuitwa Ikulu na kukutana na Rais wa taifa hilo, Yoweri Museveni kwa lengo…
Wanaume waonywa saratani ya matiti, Watakiwa kujichunguza kwani nao wapo hatarini kuugua
Habari

Wanaume waonywa saratani ya matiti, Watakiwa kujichunguza kwani nao wapo hatarini kuugua

Kwa mitazamo ya watu wengi hapa nchini, Huamini kuwa ugonjwa wa saratani ya matiti unawapata wanawake pekee lakini ukweli ni…
P. Diddy aandamwa na mzimu wa majina, Atua mahakamani kubadilisha jina
Habari

P. Diddy aandamwa na mzimu wa majina, Atua mahakamani kubadilisha jina

Kwa mara nyingine tena, Rapper Sean John Combs almaarufu kwa jina la P. Diddy, ametangaza kubadilisha jina lake la kati…
Harmonize awaudhi waandishi wa habari nchini Kenya ‘Bora tusapoti wasanii wetu, Jamaa ana madharau sana’
Habari

Harmonize awaudhi waandishi wa habari nchini Kenya ‘Bora tusapoti wasanii wetu, Jamaa ana madharau sana’

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amejikuta akiingia kwenye lawama na waandishi wa habari nchini Kenya baada ya kuwachelewesha…
RC Makonda akoshwa na upepo wa kisulisuli ‘Heri kelele za watu wanaomuomba Mungu kuliko za Bar’ (+video)
Habari

RC Makonda akoshwa na upepo wa kisulisuli ‘Heri kelele za watu wanaomuomba Mungu kuliko za Bar’ (+video)

Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Paul Makonda amewaomba viongozi wa Dini mbalimbali kwa imani zao, Watangaze Injili…
RC Katavi akerwa na upinzani mkoani kwake ‘Kunizushia, Heti nimewataka waganga wa jadi kuwaroga’
Habari

RC Katavi akerwa na upinzani mkoani kwake ‘Kunizushia, Heti nimewataka waganga wa jadi kuwaroga’

Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Juma Homera, amekerwa na wapinzani wake mkoani humo kwa kumzushia kauli ya kuagiza kurogwa kwa…
Vifo vilivyotokana na mafuriko Tanga vyafikia 14, Wananchi walala juu ya miti kujinusuru
Habari

Vifo vilivyotokana na mafuriko Tanga vyafikia 14, Wananchi walala juu ya miti kujinusuru

Watu 14 mpaka sasa wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia mvua kali zinazoendelea kunyesha mkoani Tanga, Katika wilaya ya Handeni na maeneo…
IRINGA: Mgogoro wa ardhi wa mwaka 1992 watatuliwa 2019, “Tulipanga kwenda Dodoma kumuona Rais Magufuli”
Habari

IRINGA: Mgogoro wa ardhi wa mwaka 1992 watatuliwa 2019, “Tulipanga kwenda Dodoma kumuona Rais Magufuli”

Mkuu wa wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amefanikiwa kutatua mgogoro wa ardhi baina ya wananchi saba dhidi ya chuo kikuu…
Wananchi wasalimisha noti bandia za thamani ya 740,000/=
Habari

Wananchi wasalimisha noti bandia za thamani ya 740,000/=

Baadhi ya  wananchi wa wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wameitikia wito wa Mkuu wa Wilaya hiyo, Lengai Ole Sabaya, wa kurudisha…
TID amzuia DJ ndani ya Club kupiga nyimbo za Nigeria ‘Ukifanya hivyo Nigeria utauawa’
Burudani

TID amzuia DJ ndani ya Club kupiga nyimbo za Nigeria ‘Ukifanya hivyo Nigeria utauawa’

Msanii wa muziki wa bongo Fleva, TID jana usiku amemzuia DJ K3 kupiga nyimbo za Nigeria na badala yake kumtaka…
Makandarasi waliokamatwa kwa agizo la RC Makonda waachiwa kwa dhamana “Tumewapa ili wakafanye kazi”
Habari

Makandarasi waliokamatwa kwa agizo la RC Makonda waachiwa kwa dhamana “Tumewapa ili wakafanye kazi”

Makandarasi wa kampuni ya Chicco Engineering anayejenga daraja la Mto Ngo’mbe na Nyanza Road Work wanaojenga barabara ya Banana –Kitunda…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents