ZaiiD achomoa kuwadiss Zari na Diamond
Burudani

ZaiiD achomoa kuwadiss Zari na Diamond

Rapper wa SSK, ZaiiD amesema si kweli aliwadiss Zari na Diamond katika ngoma ya Habari ya Leo. Katika ngoma ya…
Ukitoa muziki mzuri kila mtu anaukubali – Alikiba
Burudani

Ukitoa muziki mzuri kila mtu anaukubali – Alikiba

Msanii wa muziki Bongo, Alikiba amedai sababu ya ngoma yake ‘Seduce Me’ kupokelewa vizuri hadi kugusa viongozi mbali mbali wa…
Kutoa Khaligharaph Jones, Roma na Stamina waondoka Nairobi na kolabo 3
Burudani

Kutoa Khaligharaph Jones, Roma na Stamina waondoka Nairobi na kolabo 3

Muunganiko wa wasanii wawili Roma na Stamina, Rostam umefanya kolabo tatu na wasanii kutoka Nairobi nchini Kenya. Hapo jana wasanii…
Madee adai Tekno ni ziada katika muziki wake
Burudani

Madee adai Tekno ni ziada katika muziki wake

Msanii wa muziki Bongo kutoka Tip Top Connection, Madee amesema haamini kufanya ngoma na msanii mkubwa au maarufu ndio kutusua.…
Bill Nass, TID ‘dude’ kuamshwa muda wowote
Burudani

Bill Nass, TID ‘dude’ kuamshwa muda wowote

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Bill Nass amedai kuwa kwa sasa ana maelewano mazuri na TID na kuna…
Nape amuombea kheri Lissu, ‘uje utueleze ukweli wa wauaji’
Habari

Nape amuombea kheri Lissu, ‘uje utueleze ukweli wa wauaji’

Mbunge wa jimbo la Mtama, Mhe. Nape Nnauye ameeleza kuwa siku ya jana alikuwa pamoja na mbunge Singida Mashariki, Tundu…
Aby Dad achomoa kuvujisha ngoma ya Alikiba na Patoranking
Burudani

Aby Dad achomoa kuvujisha ngoma ya Alikiba na Patoranking

Producer Aby Dad amekanusha taarifa za kuvujisha kolabo ya Alikiba na Patoranking kutoka nchini Nigeria. Kwa siku za hivi karibuni…
Quick Rocka amkumbuka Ngwea, ‘tutaendelea kuenzi alichofanya’  
Burudani

Quick Rocka amkumbuka Ngwea, ‘tutaendelea kuenzi alichofanya’  

Msanii wa Bongo Flava, Quick Rocka amesema pengo la Marehemu Ngwea bado linaonekana katika muziki. Katika mahojiano na Bongo5 Quick…
Nimetaka mtoto tokea na miaka 24, sasa nina 29 – Wema Sepetu
Bongo Movie

Nimetaka mtoto tokea na miaka 24, sasa nina 29 – Wema Sepetu

Malkia wa filamu Bongo na Mkurugenzi wa Endless Fame, Wema Sepetu amefunguka hali anayokabiliana nayo ya kutopata mtoto hadi sasa. Muigizaji…
Diamond, Lady Jaydee, Samatta, Idris, Flaviana na wengineo watoa neno kwa Lissu
Habari

Diamond, Lady Jaydee, Samatta, Idris, Flaviana na wengineo watoa neno kwa Lissu

Masuper Star mbali mbali wa Bongo wameungana kutoa salamu za pole na kumtakia heri Mbunge wa Singida KaskazinI, Mhe. Tundu…
Bill Nass atoa saluti kwa Madirector wa video Bongo
Burudani

Bill Nass atoa saluti kwa Madirector wa video Bongo

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Bill Nass amesema kiwango cha madirector wa video za muziki Bongo kinaridhisha. Rapper…
Ben Pol, Barakah The Prince mambo shwari
Burudani

Ben Pol, Barakah The Prince mambo shwari

Mkali wa muziki wa RnB, Ben Pol amedai uvutano wake/beef na Barakah The Prince ulishamalizika. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa…
Babuu wa Kitaa apata mtoto
Burudani

Babuu wa Kitaa apata mtoto

Msanii wa Bongo Flava na mtangazaji wa Clouds Media, Babuu wa Kitaa amejaliwa kupata mtoto. kupitia mtandao wa Instagram rapper…
Work ya Rihanna yamvuta ZaiiD kufanya ‘Wowowo’
Burudani

Work ya Rihanna yamvuta ZaiiD kufanya ‘Wowowo’

Rapper kutoka Bongo, ZaiiD amesema chimbuko la ngoma yake mpya Wowowo ni ngoma ya msanii wa Marekani Rihanna, Work. Katika…
Amber Lulu adai Amber Rutty kamzidi kwa picha za utupu
Burudani

Amber Lulu adai Amber Rutty kamzidi kwa picha za utupu

Msanii wa Bongo Flava na video vixen, Amber Lulu amedai anachokifanya sasa video vixen mwenzie Amber Rutty katika mitandao ya…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents