Video: Mtanzania alamba Tsh. Milioni 290 za Vodacom Tusua Mapene
Promotion

Video: Mtanzania alamba Tsh. Milioni 290 za Vodacom Tusua Mapene

Mtanzania Jackson A Mwankyemwa kutokea Mkoani Mbeya amejishindia zaidi ya Tsh. Milioni 290 kupitia mchezo wa bahati nasibu wa Vodacom…
Joh Makini ataja kolabo tatu za kimataifa alizonazo
Burudani

Joh Makini ataja kolabo tatu za kimataifa alizonazo

Rapper kutokea kundi la Weusi, Joh Makini ameweka wazi idadi ya kolabo za kimataifa alizonazo kwa sasa. Joh Makini ameeleza…
Dogo Janja anena kuhusu ujauzito wa Irene Uwoya
Burudani

Dogo Janja anena kuhusu ujauzito wa Irene Uwoya

Bado msanii Dogo Janja na mkewe, Irene Uwoya wanazidi kugonga vichwa vya habari tangu walipofunga ndoa.o Sasa basi!, katika mahojiano…
New Music: Sister P (P matata) ft. Mr Blue – Tingisha
Muziki

New Music: Sister P (P matata) ft. Mr Blue – Tingisha

Msanii Mkongwe wa Bongo Flava, Sister P (P Matata) ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Tingisha ambao amemshirikisha Mr.…
Roma arudia ya 2014; Atoa ahadi mpya Brazil ikitolewa Kombe la Dunia leo
Burudani

Roma arudia ya 2014; Atoa ahadi mpya Brazil ikitolewa Kombe la Dunia leo

Msanii wa muziki Bongo, Roma amesema iwapo timu ya taifa ya Brazil itatolewa leo katika michuano ya Kombe la Dunia…
Dully Sykes awatetea wasanii wa sasa, ‘Wa zamani hawana ubunifu’
Burudani

Dully Sykes awatetea wasanii wa sasa, ‘Wa zamani hawana ubunifu’

Msanii wa Bongo Flava, Dully Sykes amesema wasanii wa zamani kuwachukia wasanii wa sasa katika muziki huo haina maana yoyote…
P The MC kuja kivingine, albamu mkononi
Burudani

P The MC kuja kivingine, albamu mkononi

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, P The MC amefunguka sababu za ukimya wake kimuziki. Rapper huyo kutoka kundi…
Umri, Majukumu vyatajwa kuipoteza Tip Top Connection
Burudani

Umri, Majukumu vyatajwa kuipoteza Tip Top Connection

Msanii wa Bongo Flava, Dogo Janja amesema kundi la Tip Top Connection bado lipo pale pale ila kutokana na umri…
Jibu la Rayvanny iwapo Rich Mavoko ameondoka WCB
Burudani

Jibu la Rayvanny iwapo Rich Mavoko ameondoka WCB

Msanii wa muziki Bongo kutokea WCB, Rayvanny amefunguka kuhusu taarifa zinazodai kuwa Rich Mavoko hayupo tena katika label hiyo. Muimbaji…
Super Sunday Makala: Dada pumzisha mwili wako, weupe sio mali
Bongo5 Makala

Super Sunday Makala: Dada pumzisha mwili wako, weupe sio mali

May 19, 2018 Kiongozi Mkuu wa kanisa la Anglikana nchini Uingereza Askofu Mkuu, Justin Welby alifungisha ndoa ya Mwanamfalme wa…
Wabongo kuwa nao makini sana, ndio wanapenda kiki – Weusi (+video)
Burudani

Wabongo kuwa nao makini sana, ndio wanapenda kiki – Weusi (+video)

Msanii wa muziki wa Hip Hop Bongo, Nikki wa Pili amesema idadi kuwa ya mashabiki wa muziki/Wabongo ndio wanapenda kiki…
Rayvanny amlipua Dogo Janja, ‘Unanikosea heshima’
Burudani

Rayvanny amlipua Dogo Janja, ‘Unanikosea heshima’

Baada ya Dogo Janja kudai kuwa Rayvanny hajui kuvaa, muimbaji huyo amejibu hilo. Rayvanny amesema kuwa Dogo Janja anakosea kusema…
Ommy Dimpoz ‘akwamisha’ Mo Faya kuingia sokoni, Alikiba aeleza yote
Burudani

Ommy Dimpoz ‘akwamisha’ Mo Faya kuingia sokoni, Alikiba aeleza yote

Msanii wa muziki Bongo, Alikiba amefunguka ni kwanini hadi sasa kinywaji chake, Mo Faya hadi sasa hakijaingia mtaani/sokoni kama alivyotangaza…
Lava Lava hakutengemea hili kutoka kwa Hamisa Mobetto, ‘Alishanifuata akaniambia’
Burudani

Lava Lava hakutengemea hili kutoka kwa Hamisa Mobetto, ‘Alishanifuata akaniambia’

Msanii wa Bongo Flava, Lava Lava amesema mwanamitindo Hamisa Mobetto ni shabiki yake namba moja na mwanzo kabisa ni kitu…
New Video: Natacha ft. Fally Ipupa – Duga
Videos

New Video: Natacha ft. Fally Ipupa – Duga

Msanii wa muziki kutoka nchini Burundi, Natacha ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Duga’ ambayo amemshirikisha Fally Ipupa, video imeongozwa…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents