New Video: Christian Bella ft Malaika Band – Rudi
Videos

New Video: Christian Bella ft Malaika Band – Rudi

Msanii wa muziki Bongo, Christian Bella kwa kushirikiana na Malaika Band wameachia vide ya ngoma yao mpya ‘Rudi’. Itazame hapa.
Video: Mauno ya Alicios yawapagawisha wapendanao katika Valentine Day na Lady Jaydee
Burudani

Video: Mauno ya Alicios yawapagawisha wapendanao katika Valentine Day na Lady Jaydee

Msanii Alicios kutoka Congo DRC ambaye anafanya kazi zake za muziki nchini Kenya usiku wa kuamkia leo katika show ya…
Video: Dakika 15 za Lady Jaydee akitumbuiza mbele ya wapendanao
Burudani

Video: Dakika 15 za Lady Jaydee akitumbuiza mbele ya wapendanao

Mwanamuziki Lady Jaydee amewakosha villivyo mashabiki wake pale alipokuwa akitumbuiza katika show yake ‘Valentine Day Na Lady Jaydee’ ambayo imefanyika…
New Video: Msaga Sumu – Kitu Gani
Videos

New Video: Msaga Sumu – Kitu Gani

Msanii wa muziki wa Singeli Bongo, Msaga Sumu ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Kitu Gani’. Itazame hapa. https://youtu.be/LLLyxqv1JDA
Bahati kutoka kivingine na Aslay (+video)
Burudani

Bahati kutoka kivingine na Aslay (+video)

Msanii wa muziki kutoka nchini Kenya, Bahati amefunguka ujio wa kolabo nyingine na msanii kutoka Bongo baada ya kufanya vizuri…
New Video: Q Chief – Delailah
Videos

New Video: Q Chief – Delailah

Msanii wa muziki Bongo, Q Chief ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Delailah’, video imeongozwa na Kilonzo. Itazame hapa.
Lulu Diva aeleza undani wa ku-date na Rich Mavoko
Burudani

Lulu Diva aeleza undani wa ku-date na Rich Mavoko

Msanii wa muziki Bongo, Lulu Diva amefunguka ukaribu wake na Rich Mavoko na namna unavyokuwa ukiripotiwa. Muimbaji huyo ambaye anafanya…
New Audio: Aslay x Nandy – Kivuruge Remix
Muziki

New Audio: Aslay x Nandy – Kivuruge Remix

Wakati ngoma yao Subalkheri ikiendelea kufanya vizuri, Aslay na Nandy wameachia remix ya ngoma ya ‘Kivuruge’ ambayo ni ya Nandy.…
Mke wangu ni mganga wa jiko – Dogo Janja
Burudani

Mke wangu ni mganga wa jiko – Dogo Janja

Msanii wa muziki Bongo, Dogo Janja amefunguka kinachomvutia kutoka kwa mke wake Irene Uwoya msimu huu wa wapendanao (valentine). Hitmaker…
Makamu Rais wa Marekani agoma kula meza moja na dada Rais wa Korea Kaskazini
Habari

Makamu Rais wa Marekani agoma kula meza moja na dada Rais wa Korea Kaskazini

Makamu rais wa Marekani, Mike Pence amegoma kuwepo katika chakula cha jioni na kiongozi wa serikali ya Korea Kaskazini Kim…
New Video: D’banj ft Slimcase & Mr Real – Issa Banger
Videos

New Video: D’banj ft Slimcase & Mr Real – Issa Banger

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, D’banj ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Issa Banger’ akishirikiana na Slimcase na Mr Real.…
New Video: Sting X Shaggy – Don’t Make Me Wait
Videos

New Video: Sting X Shaggy – Don’t Make Me Wait

Mwanamuziki Sting ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Don’t Make Me Wait’ akishirikiana na Shaggy. Itazame hapa.
Izzo Bizness atoa maana ya ngoma yake ‘Saa Sita’ (video)
Burudani

Izzo Bizness atoa maana ya ngoma yake ‘Saa Sita’ (video)

Msanii wa muziki, Bongo Izzo Bizness amefunguka maana halisi ya ngoma yake mpya ‘Saa Sita’. Rapper huyo amesema watu wengi…
Mapenzi: Lady Jaydee kuwakonga nyoyo wapendanao (+video)
Burudani

Mapenzi: Lady Jaydee kuwakonga nyoyo wapendanao (+video)

Mwanamuziki Lady Jaydee anatarajia kukonga nyoyo za mashabiki wake kupitia show yake ya ‘Valentine Day na Lady Jaydee’ ambayo ameandaa…
Naumia nikiona Diamond anasemwa kila siku – Ray C
Burudani

Naumia nikiona Diamond anasemwa kila siku – Ray C

Msanii wa muziki Bongo, Ray C amesema moja ya vitu vinavyomuumiza ni kuona Diamond anasemwa kwa ‘mabaya’ kila siku. Muimbaji…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents