Stamina aeleza kwanini wasanii wanaowania tuzo za kimataifa ni wale wale
Burudani

Stamina aeleza kwanini wasanii wanaowania tuzo za kimataifa ni wale wale

Rapper Stamina amefunguka kwanini majina ya wasanii wa Bongo Fleva yanayotajwa kwenye tuzo za kimataifa yanakuwa yanajirudia kila siku. Akiongea…
Donald Trump ampa shavu Ben Carson
Habari

Donald Trump ampa shavu Ben Carson

Rais mteule wa Marekani, Donald Trump ameendelea na kazi ya kuteua viongozi kwenye nyadhifa tofauti tofauti ambao watashirikiana kuiongoza nchi…
MC Pilipili aweka wazi jina la kitabu chake kipya
Burudani

MC Pilipili aweka wazi jina la kitabu chake kipya

Mchekeshaji maarufu Emmanuel ‘MC Pilipili’ Mathias ametaja jina la kitabu chake kitakachozungumzia maisha yake. MC Pilipili amekiambia kipindi cha The…
Darassa afunguka kuhusu kutajwa kama rapper namba 1 na mashabiki
Burudani

Darassa afunguka kuhusu kutajwa kama rapper namba 1 na mashabiki

Rapper anayefanya vizuri kwa sasa kwenye muziki wa Hip Hop, Darassa amefunguka juu ya mtazamo wa mashabiki na wadau mbalimbali…
Diss ya Tyga kwa 21 Savage yamweka pabaya mpenzi wake Kylie Jenner
Burudani

Diss ya Tyga kwa 21 Savage yamweka pabaya mpenzi wake Kylie Jenner

Baada ya rapper Tyga kumdiss 21 Savage kwenye wimbo wa ‘My Heart (remix)’ ugomvi umehamia kwa mwanadada Kylie Jenner. Ijumaa…
Rais Magufuli awajia juu waandishi wanaomchafua Kikwete na mkewe
Habari

Rais Magufuli awajia juu waandishi wanaomchafua Kikwete na mkewe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amewajia juu wa waandishi wa vyombo vya habari na…
Waziri Mkuu wa Italia apanga kujiuzulu kwenye nafasi hiyo
Habari

Waziri Mkuu wa Italia apanga kujiuzulu kwenye nafasi hiyo

Waziri Mkuu wa Italia Matteo Renzi ametangaza kuchukua maamuzi ya kujiuzulu baada ya kushindwa kwenye kura ya marekebisho ya katiba…
Video ya Eric Omondi yamtoa povu Barakah The Prince
Burudani

Video ya Eric Omondi yamtoa povu Barakah The Prince

Baada ya Eric Omondi kuachia video ya parody ya wimbo wa ‘Kuliko Jana’ wa Sauti Sol, msanii wa Bongo Fleva…
Uongozi wa Rais Magufuli: Vilio vya mijini ni furaha vijijini
Habari

Uongozi wa Rais Magufuli: Vilio vya mijini ni furaha vijijini

Ukipatwa na kiu ya maji unahitajika kupata kimiminika hicho ili kuweza kukata kiu hiyo lakini ukikosa utahaha mpaka utahisi roho…
Kelly Rowland apanga kuachia kitabu chake mwakani
Burudani

Kelly Rowland apanga kuachia kitabu chake mwakani

Muimbaji wa marekani, Kelly Rowland amejiingiza kwenye tasnia ya uandishi wa vitabu. Kelly amepanga kuachia kitabu chake cha kwanza kinachoitwa…
Adama Barrow achaguliwa kuwa Rais mpya wa Gambia
Habari

Adama Barrow achaguliwa kuwa Rais mpya wa Gambia

Aliyekuwa mgombea wa chama cha upinzani kwenye uchaguzi mkuu wa nchini Gambia, Adama Barrow amechaguliwa kuwa Rais wa nchi hiyo.…
Drake na Rihanna waongoza kusikilizwa kwenye Spotify mwaka huu
Burudani

Drake na Rihanna waongoza kusikilizwa kwenye Spotify mwaka huu

Mtandao wa Spotify umetangaza majina ya wasanii wa kiume na wa kike walioongoza kusikilizwa zaidi kwenye mtandao huo kwa mwaka…
Video: Eric Omondi – Kuliko Jana (Parody)
Videos

Video: Eric Omondi – Kuliko Jana (Parody)

Mchekeshaji kutoka Kenya, Eric Omondi ameachia parody ya wimbo wa Sauti Sol waliowashirikisha kwaya ya Upper Hill School, Kuliko Jana.…
Raymond amshukuru Diamond alichomfanyia kwenye video mbili
Burudani

Raymond amshukuru Diamond alichomfanyia kwenye video mbili

Raymond ameendelea kumshukuru bosi wake wa lebo ya WCB, Diamond Platnumz kwa kile anachomsaidia kupitia muziki wake. Hitmaker huyo wa…
Alikiba kuja na kitu kipya kwenye runinga yako
Burudani

Alikiba kuja na kitu kipya kwenye runinga yako

Kuna uwezekano mkubwa safari ya Alikiba kwenye mbuga ya wanyama ya Serengeti National Park aliyoifanya kwa ajili ya kusherekea siku…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents