Hakuna siri tena: Mahusiano ya Young Dee na Amber Lulu hadharani
Burudani

Hakuna siri tena: Mahusiano ya Young Dee na Amber Lulu hadharani

Ukimwaga mboga wenzio wanamwaga ugali. Ukweli wafahamika baada ya mara kadhaa rapper Young Dee kukanusha kuwahi kuwa na mahusiano na…
Facebook yaanzisha mfumo mpya wa njia ya barua pepe
Habari

Facebook yaanzisha mfumo mpya wa njia ya barua pepe

Mtandao wa Facebook umeanzisha mfumo mpya wa mtandao mpya uliopewa jina la ‘Work Place’ ambao utasaidia makampuni kurahisisha mawasiliano kwa…
Kevin Hart apata heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’
Burudani

Kevin Hart apata heshima ya ‘Hollywood Walk of Fame’

Mchekeshaji maarufu wa Marekani, Kevin Hart amefanikiwa kuungana na mastaa wengine duniani waliowahi kupatiwa heshima ya nyota ya Hollywood Walk…
Jaguar akamilisha kushoot video yake mpya na rapper wa Ghana
Burudani

Jaguar akamilisha kushoot video yake mpya na rapper wa Ghana

Msanii wa Kenya, Jaguar amekamilisha kushoot video ya wimbo wake mpya aliomshirikisha rapper wa Ghana, Elom Adablah aka E.L. Siku…
Machupa aipandisha daraja FC Kilimanjaro kwenye ligi nchini Sweden
Michezo

Machupa aipandisha daraja FC Kilimanjaro kwenye ligi nchini Sweden

Timu inayomilikiwa na watanzania nchini Sweden, FC Kilimanjaro imefanikiwa kupanda daraja kwenye moja ya ligi iliyokuwa ikishiriki nchini humo. Timu…
Lulu adai amekataa dili kadhaa kutoka kwa wasanii wa Nigeria
Burudani

Lulu adai amekataa dili kadhaa kutoka kwa wasanii wa Nigeria

Msanii mahiri wa filamu Bongo, Elizabeth ‘Lulu ‘ Michael amefunguka kwa kudai kuwa tangu alipopata tuzo ya AMVCA 2016 amekataa…
GK: Wasanii warudi shule ili waache kupelekwa pelekwa
Burudani

GK: Wasanii warudi shule ili waache kupelekwa pelekwa

King Crazy GK amewataka wasanii warudi shule ili waache kuendeshwa kwenye muziki. Rapper huyo amedai kuwa wasanii wengi wamekuwa wakipelekwa…
Rihanna awakejeli wapenzi wake aliowahi kutoka nao
Burudani

Rihanna awakejeli wapenzi wake aliowahi kutoka nao

Hitmaker wa wimbo ‘Work’, Rihanna amewakejeli waliokuwa wapenzi wake kupitia ujumbe aliouandioka kwenye mtandao wake wa Instagram. Rihanna ameandika kwenye…
Bill Nas atuhumiwa kuhamisha verse yake kwenye wimbo wa msanii chipukizi na kuiweka kwenye wimbo wa Nuh
Burudani

Bill Nas atuhumiwa kuhamisha verse yake kwenye wimbo wa msanii chipukizi na kuiweka kwenye wimbo wa Nuh

Rapper Bill Nas anatuhumiwa kutumia verse za wimbo wa msanii chipukizi ambaye amefanya cover ya ‘Pana’ Chris Roby kwenye wimbo…
Rapper Disiigner ameachia kionjo cha wimbo wake mpya
Burudani

Rapper Disiigner ameachia kionjo cha wimbo wake mpya

Rapper Desiigner ameachia kionjo cha wimbo wake mpya ‘Outleet/Billionares’ ambao anatarajia kuuachia hivi karibuni. Wimbo huo umetayarishwa na Vinylz. “Got…
Aliyemtoa damu Neymar uwanjani agoma kumuomba radhi
Michezo

Aliyemtoa damu Neymar uwanjani agoma kumuomba radhi

Beki wa timu ya taifa ya Bolivia, Yasmani Duk amegoma kumuomba msamaha mchezaji wa Brazil, Neymar ambaye alimpasua kwa kumpiga…
Christian Bella ataja kitu ambacho hatokisahau maisha mwake
Burudani

Christian Bella ataja kitu ambacho hatokisahau maisha mwake

King of the best melody Christian Bella amefunguka na kutaja wakati mgumu ambao amewahi kuupitia na hatokuja kusahau kwenye maisha…
Wimbo wa Mafikizolo ulioandikwa na Vanessa Mdee kuachiwa wiki ijayo
Burudani

Wimbo wa Mafikizolo ulioandikwa na Vanessa Mdee kuachiwa wiki ijayo

Kundi la muziki kutoka Afrika Kusini, Mafikizolo limetangaza kuachia wimbo wao mpya walioupa jina la ‘Kucheza’ wiki ijayo. Kupitia mtandao…
Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mkuu wa TCRA
Habari

Rais Magufuli amteua Mkurugenzi Mkuu wa TCRA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli amemteua Mhandisi James Mitayakingi Kilaba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya…
Amber Lulu na Giggy Money waanza kuwashiana moto
Burudani

Amber Lulu na Giggy Money waanza kuwashiana moto

Baada ya mapema wiki hii kuenea kwa taarifa za kukamatwa kwa model Amber Lulu akiwa na madawa ya kulevya huko…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents