Mariah Carey kuonekana kwenye msimu wa tatu wa ‘Empire’
Burudani

Mariah Carey kuonekana kwenye msimu wa tatu wa ‘Empire’

Msanii wa muziki wa Pop Marekani, Mariah Carey amepata shavu la kuonekana kwenye show kubwa ya muziki na maisha ya…
Video: Goli la kwanza la Samatta kwenye msimu mpya wa ligi ya Ubelgiji
Michezo

Video: Goli la kwanza la Samatta kwenye msimu mpya wa ligi ya Ubelgiji

Nyota ya nahodha wa timu ya Taifa Stars, Mbwana Samatta imezidi kung’aa ndani ya Belgium Pro League. Mchezaji huyo alifanikiwa…
Azam FC yamsajili mbaya wa Yanga kutoka Madeama SC ya Ghana
Michezo

Azam FC yamsajili mbaya wa Yanga kutoka Madeama SC ya Ghana

Klabu ya Azam FC imefanikiwa kumsajili winga wa timu ya Madeama SC ya Ghana, Enock Atta Agyei (18) kwa mkataba…
New Video: Tiwa Savage f/ Wizkid – Bad
Habari

New Video: Tiwa Savage f/ Wizkid – Bad

Diva wa muziki wa Nigeria, Tiwa Savage ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Bad’ aliomshirikisha Wizkid. Video ya wimbo huo…
Video: Kijana wa Gabon amshangaza Celine Dion
Burudani

Video: Kijana wa Gabon amshangaza Celine Dion

Muimbaji mkongwe wa nyimbo za taratibu Celine Dion kutoka Canada, amepanga kukutana na kijana wa Gabon aliyeonekana kwenye kipande cha…
Joe Budden amemdiss tena Drake kwenye freestyle ya Hot 97
Burudani

Joe Budden amemdiss tena Drake kwenye freestyle ya Hot 97

Bifu la Drake na Joe Budden moto wake hauzimiki tena. Hivi karibuni Drake alimkejeli Budden kwenye ziara yake ya Summer…
New Video: French Montana f/ Drake – No Shopping
Videos

New Video: French Montana f/ Drake – No Shopping

Baada ya kuachia wimbo wake mpya ‘No Shopping’ siku chache zilizopita rapper wa Marekani mwenye asili ya nchi ya Morocco,…
Victoria Kimani amweka wazi mpenzi wake
Burudani

Victoria Kimani amweka wazi mpenzi wake

Muimbaji wa Kenya anayefanya kazi zake nchini Nigeria, Victoria Kimani kwa mara ya kwanza amemweka wazi mpenzi wake. Ni muda…
Msanii mwingine wa Kenya asainishwa na Chocolate City ya Nigeria
Burudani

Msanii mwingine wa Kenya asainishwa na Chocolate City ya Nigeria

Uongozi wa lebo ya Chocolate City umemsaini msanii mwingine kutoka nchini Kenya. Lebo hiyo inayomilikiwa na rapper, M.I imetangaza kumsaini…
Kutokea kwa mama kwenye video yangu ni historia kubwa – Mayunga
Burudani

Kutokea kwa mama kwenye video yangu ni historia kubwa – Mayunga

Mshindi wa shindano na Airtel Trace Music Star 2015, Mayunga amedai kuwa kuonekana kwa marehemu mama yake kwenye wimbo wake…
Professor Jay: Kutokujua kimombo si dhambi
Burudani

Professor Jay: Kutokujua kimombo si dhambi

Msanii wa muziki wa Hip Hop na mbunge wa Mikumi, Professor Jay amesema kuwa kutokujua Kiingereza siyo dhambi. Rapper huyo…
Albamu ya Dj Khaled ‘Major Key’ yaanza kupatikana kwenye mtandao wa Apple Music
Burudani

Albamu ya Dj Khaled ‘Major Key’ yaanza kupatikana kwenye mtandao wa Apple Music

Albamu mpya ya Dj Khaled ‘Major Key’ imeanza kupatikana kwenye mtandao wa Apple Music. Msanii huyo ameachia albamu hiyo iliyotangazwa…
Usajili wa Pogba kwenda Manchester United kukamilika ndani ya masaa 48 yajayo
Michezo

Usajili wa Pogba kwenda Manchester United kukamilika ndani ya masaa 48 yajayo

Klabu ya Manchester United inatarajiwa kumsaini kiungo wa Juventus Paul Pogba ndani ya masaa 48 yajayo baada ya kukubali kulipa…
Nick Wa Pili f/ Chin Bees – Sweet Mangi
Videos

Nick Wa Pili f/ Chin Bees – Sweet Mangi

Nick Wa pili ameachia video ya wimbo wake ‘Sweet Mangi’ aliomshirikisha Chin Bees. Video ya wimbo huo imefanyika nchini Afrika…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents