Video: Harmorapa amezaliwa kwa ajili ya kiki lakini siyo mwanamuziki mzuri – Mkaliwenu
Burudani
June 13, 2018 - 12:21 pm
Video: Harmorapa amezaliwa kwa ajili ya kiki lakini siyo mwanamuziki mzuri – Mkaliwenu
Mkaliwenu amesema kuwa Harmorapa amezaliwa kwa ajili ya kiki lakini siyo mwanamuziki mzuri. Mchekeshaji huyo ameongeza kuwa ndio maana kwa…
Nas kuachia albamu yake mpya Ijumaa hii, Kanye West aweka wazi ngoma zitakazokuwepo
Burudani
June 13, 2018 - 10:40 am
Nas kuachia albamu yake mpya Ijumaa hii, Kanye West aweka wazi ngoma zitakazokuwepo
Nas is back. Rapper huyo mkongwe anatarajia kuachia albamu yake mpya Ijumaa hii. Kubwa zaidi mtayarishaji wa albamu hiyo ni…
Mr Kesho afunguka kutemwa na menejimenti yake (+video)
Burudani
June 13, 2018 - 10:18 am
Mr Kesho afunguka kutemwa na menejimenti yake (+video)
Msanii wa Bongo Fleva, Mr Kesho amefunguka kuhusu kufukuzwa kwenye menejimenti aliyosainiwa pamoja na Linah. Hit maker huyo wa ‘Nangoja’…
Penzi la Ariana Grande lamnogea Pete Davidson, aamua kufanya hili
Burudani
June 12, 2018 - 3:20 pm
Penzi la Ariana Grande lamnogea Pete Davidson, aamua kufanya hili
Pete Davidson ameonekana kunogewa na penzi la Ariana Grande. Mchekeshaji huyo ameamua kumvalishw pete ya uchumba mrembo huyo ikiwa ni…
Nicki Minaj atangaza tour yake ‘NICKIHNDRXX’, aungana na Future
Burudani
June 12, 2018 - 11:36 am
Nicki Minaj atangaza tour yake ‘NICKIHNDRXX’, aungana na Future
Nicki Minaj ametangaza ujio wa ziara yake ya kimuziki NICKIHNDRXX Tour 2018/2019. Msanii huyo wa kike ambaye anatajwa kuwa malkia…
Siwezi kujiita Simba nikashabikia Chui – Diamond
Burudani
June 12, 2018 - 10:55 am
Siwezi kujiita Simba nikashabikia Chui – Diamond
Baada ya kuficha kwa muda mrefu kuhusu timu anayoshabikia hapa Bongo, Dimond Platnumz ameamua kuweka wazi. Akiongea na Wasafi TV…
Kokoro yangu ni kali kuliko ya Diamond na Rich Mavoko – Mkaliwenu (+video)
Burudani
June 11, 2018 - 4:29 pm
Kokoro yangu ni kali kuliko ya Diamond na Rich Mavoko – Mkaliwenu (+video)
Mkekeshaji na msanii wa muziki, Mkaliwenu amefunguka kuhusu ngoma yake mpya Kokoro’ kwa kudai ni kali zaidi ya ile ya…
Mkongwe Dudu Baya aachia ngoma mpya ‘Rimoti’, isikilize hapa
Muziki
June 11, 2018 - 3:31 pm
Mkongwe Dudu Baya aachia ngoma mpya ‘Rimoti’, isikilize hapa
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Flava, Dudu Baya ameachia ngoma yake mpya ‘Rimoti’ ambayo amemshirikisha Much More na Brown…
Video: Alikiba aeleza machungu yake kwa Yanga, aipongeza Simba kwa hili
Burudani
June 11, 2018 - 2:59 pm
Video: Alikiba aeleza machungu yake kwa Yanga, aipongeza Simba kwa hili
Msanii Alikiba amefunguka kuhusu machungu yake kwaklabu yake anayoshabikia ya Yanga na kuongeza kwa kuwapongeza wapinzani wao Simba kwa kushinda…
Prince Harry na Meghan Markle watangaza ziara yao ya kwanza ya kifalme
Habari
June 11, 2018 - 10:28 am
Prince Harry na Meghan Markle watangaza ziara yao ya kwanza ya kifalme
Prince Harry na mkewe Meghan Markle (Duke and Duchess of Sussex), wametangaza ziara yao ya kwanza ya kifalme katika nchi…
Alikiba ampiga mkwara mzito Mbwana Samatta (+video)
Burudani
June 7, 2018 - 6:35 pm
Alikiba ampiga mkwara mzito Mbwana Samatta (+video)
Licha ya kupokonywa kocha Jamhuri Kihwelo Julio, msanii Alikiba amempiga mkwara mchezaji wa Taifa Stars na klabu ya KRC Genk,…
Picha/Video: Beyonce na Jay Z walivyowasha moto kwenye ziara ya ‘On the Run II’
Burudani
June 7, 2018 - 11:57 am
Picha/Video: Beyonce na Jay Z walivyowasha moto kwenye ziara ya ‘On the Run II’
Beyonce na Jay Z wameanza kufanya show yao ya kwanza ya ziara ya ‘On the Run II’. Jumatano hii couple…
Fainali ya NBA: Golden State Warriors yaendelea kuinyanyasa Cavaliers
Michezo
June 7, 2018 - 11:07 am
Fainali ya NBA: Golden State Warriors yaendelea kuinyanyasa Cavaliers
Golden State Warriors imeendelea kuinyanyasa Cleveland Cavaliers katika fainali ya tatu ya mchezo wa kikapu wa NBA. Katika mchezo huo…
Shilole kugombea Ubunge (+video)
Burudani
June 6, 2018 - 2:42 pm
Shilole kugombea Ubunge (+video)
Msanii wa muziki Bongo, Mr Kesho ambaye ambemshirikisha Shilole kwenye wimbo wake mpya ‘Nakudata’, ameweka wazi kuwa mrembo huyo anamipango…
Galaxy aeleza kimya chake kwenye muziki,kiki na ukaribu wake na menejimenti yake ya Marekani (+video)
Burudani
June 6, 2018 - 1:43 pm
Galaxy aeleza kimya chake kwenye muziki,kiki na ukaribu wake na menejimenti yake ya Marekani (+video)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Galaxy, ameelezea kimya chake cha zaidi ya mwaka mmoja na nusu bila ya kuachia…