Serikali ikiwatumia wasanii inaweza kuwakamata wauza unga?
Habari

Serikali ikiwatumia wasanii inaweza kuwakamata wauza unga?

Madawa ya kulevya yamekuwa ni janga kubwa la dunia, vijana wengi wameathirika na wengine wamepoteza maisha kutokana na matumizi hayo.…
Bifu la Diamond na Alikiba linavyowanufaisha wasanii wa nje
Burudani

Bifu la Diamond na Alikiba linavyowanufaisha wasanii wa nje

Ni ukweli kuwa Diamond na Alikiba ni wasanii ambao hawapatani kwa muda mrefu. Kutokana na ugomvi wao uliopo umepelekea mpaka…
Kauli ya Makonda inavyoweza kutumika kama fursa kwa vijana wa Dar
Habari

Kauli ya Makonda inavyoweza kutumika kama fursa kwa vijana wa Dar

Mkoa wa Dar es Salaam ni miongoni mwa majiji yanayoongoza kwa uchafu Tanzania. Siku chache zilizopita Rais Magufuli alifanya uteuzi…
Mama yangu ndiye aliyegundua kipaji changu – Msami
Burudani

Mama yangu ndiye aliyegundua kipaji changu – Msami

Wimbo wa ‘Mabawa’ ni moja kati ya nyimbo zinazofanya vizuri kwenye media mbalimbali, kubwa zaidi ikivutiwa na staili ya uchezaji…
Mastaa wa Bongo Flava waliokaa kimya kwa muda na kurudi kwa kishindo
Burudani

Mastaa wa Bongo Flava waliokaa kimya kwa muda na kurudi kwa kishindo

Muziki wa Bongo Flava unafanya vizuri kwa sasa, unashika nafasi ya tatu kwa Afrika baada ya Nigeria na Afrika Kusini.…
Raymond: Kufanana kwa maneno na wimbo ya Harmonize ni kawaida
Burudani

Raymond: Kufanana kwa maneno na wimbo ya Harmonize ni kawaida

Label ya Wasafi imeanza kufanya vizuri baada ya kumtambulisha vizuri Harmonize, lakini sasa wamemtambulisha msanii mwingine anayejulikana Raymond. ‘Kwetu’ ya…
Fikra za vijana juu ya kuletewa ajira nyumbani
Habari

Fikra za vijana juu ya kuletewa ajira nyumbani

Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizo chini ya Jangwa la Sahara zilizokuwa na vijana wengi wasiokuwa na ajira. Mwanzoni Rais…
Hawa ndiyo wachezaji matajiri Afrika kwa sasa
Michezo

Hawa ndiyo wachezaji matajiri Afrika kwa sasa

Brazil ni nchi pekee ambayo imebarikiwa kuwa na vipaji vingi vya mpira, lakini hata Afrika pia imebarikiwa kuwa na wachezaji…
TMK Wanaume Family kuja na wimbo wa Anniversary
Burudani

TMK Wanaume Family kuja na wimbo wa Anniversary

TMK Wanaume Family ni moja kati ya makundi yaliyowatoa mastaa ambao bado wanafanya vizuri kwenye muziki mpaka sasa. Ukimya wa…
Bonta alivyoamua kuhamishia tiba zake za udaktari kwenye muziki
Burudani

Bonta alivyoamua kuhamishia tiba zake za udaktari kwenye muziki

Bonta ni miongoni mwa wasanii wa Hip Hop kutoka bongo wenye uwezo wa kuandika mistari inayoweza kuchukuwa muda kufikiria na…
Chodry kuachia filamu yake ‘Return to Zero’ akiwa na Hemedy PHD
Burudani

Chodry kuachia filamu yake ‘Return to Zero’ akiwa na Hemedy PHD

Baada ya muda mrefu kuonekana movie za Bongo kutofanya vizuri, tuzo walizozipata Lulu na Richie zimeanza kuonesha mwanga kwenye industry…
Hip Hop ya Bongo inavyogeuka kuwa kinyonga
Burudani

Hip Hop ya Bongo inavyogeuka kuwa kinyonga

Mwanzoni wakati Hip Hop inaanza ilionekana ni uhuni, watu wengi walipoteza maisha kutokana na bifu zilizokuwa zinaendelea. Nilishangaa miaka kadhaa…
Davido ajikuta matatani na shabiki wake
Burudani

Davido ajikuta matatani na shabiki wake

Wikiendi ilikuwa mbaya kwa Davido baada ya kujikuta akirushiana maneno na shabiki wake. Davido ambaye hivi karibuni alisaini dili la…
Sikutegemea ‘Zigo Remix’ ingekiki hivi – Diamond
Burudani

Sikutegemea ‘Zigo Remix’ ingekiki hivi – Diamond

Zigo Remix ni moja kati ya nyimbo ambazo AY hapaswi kuzisahau. Mpaka sasa video ya wimbo huo inakaribia miezi miwili…
Hawa ni makocha waliopata mafanikio makubwa duniani kwa muda wote
Michezo

Hawa ni makocha waliopata mafanikio makubwa duniani kwa muda wote

Timu ikiharibu uwanjani mtu anayetuhumiwa ni kocha, ndiyo maana wanasema ‘Coach are hired to be fired’. Timu inapomsajili kocha wanakuwa…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents