Picha/Video: Mtanzania Emanuel Austin alivyowapagawisha Wajerumani na tamasha lake
Burudani

Picha/Video: Mtanzania Emanuel Austin alivyowapagawisha Wajerumani na tamasha lake

Mtanzania Emanuel Austin ambaye ni mwalimu wa dansi (Choreographer) nchini Ujerumani ameendelea kufanya matamasha yake ambayo yamezidi kufanya vizuri. Wikiendi…
Siku ya Mazingira Duniani: Miss Ubungo Diana Kato afanya usafi hospitali ya Amana (+picha)
Habari

Siku ya Mazingira Duniani: Miss Ubungo Diana Kato afanya usafi hospitali ya Amana (+picha)

Aliyekuwa Miss Ubungo mwaka 2014-2016 Diana Joachim Kato ameshiriki katika kuadhimisha wiki ya mazingira iliyoanza Mei 31 hadi Juni 5,…
Davido kutumbuiza kwenye tamasha la Jay Z
Burudani

Davido kutumbuiza kwenye tamasha la Jay Z

Davido amepata bahati ya kutumbuiza kwenye tamasha la rapper Jay Z, ‘Made in America’. Msanii huyo wa Nigeria atawasha moto…
Zari The Bosslady akava jarida la True Love East Africa
Burudani

Zari The Bosslady akava jarida la True Love East Africa

Baada ya kuonekana kwenye video ya wimbo mpya wa Iyena wa Diamond ambao umezua gumzo kubwa, Zari The Bosslady anazidi…
Mr Blue akanusha kuwa na bifu na Diamond
Burudani

Mr Blue akanusha kuwa na bifu na Diamond

Mr Blue ameamua kuweka wazi kuhusu taarifa za muda mrefu zilizosambaa kuwa hana maelewano mazuri na Diamond Platnumz. Hit maker…
Baada ya kimya kirefu Galaxy aachia video mpya ‘Ona’, itazame hapa
Videos

Baada ya kimya kirefu Galaxy aachia video mpya ‘Ona’, itazame hapa

Baada ya ukimya wa zaidi ya mwaka mmoja, msanii wa Bongo Fleva, Galaxy ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Ona’.…
Mbao FC yamsajili kocha wa Lipuli
Michezo

Mbao FC yamsajili kocha wa Lipuli

Klabu ya soka ya Mbao FC, imetangaza rasmi kumsajili kocha Amri Said. Kocha huyo amesaini mkataba wa miaka minne ambao…
Singida United wamtambulisha mchezaji wa Tanzania Prisons
Michezo

Singida United wamtambulisha mchezaji wa Tanzania Prisons

Klabu ya Singida United imeonekana kuongoza katika mbio za kusajili wachezaji ambao watawatumia msimu ujao. Timu hiyo imemsajili kiungo wa…
Azam FC wampeleka Donald Ngoma Afrika Kusini
Michezo

Azam FC wampeleka Donald Ngoma Afrika Kusini

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Azam FC, Donald Ngoma, jana usiku ameondoka nchini kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kufanyiwa…
Chris Brown aanza kujisogeza kwa Rihanna
Burudani

Chris Brown aanza kujisogeza kwa Rihanna

Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini. Chris Brown ameanza kuwasha taa ya kijani kumfukuzia upya Rihanna. Chris amemfollow Rihanna…
TETESI: Fred kujiunga na Man United ndani ya masaa 24
Michezo

TETESI: Fred kujiunga na Man United ndani ya masaa 24

Kiungo wa klabu ya Shakthar Donetsk na timu ya taifa ya Brazil, Frederico Santos maarufu kama Fred, anatarajiwa kukamilisha usajili…
New Music: Elly da Bway – Mabovu
Muziki

New Music: Elly da Bway – Mabovu

Mtayarishaji wa muziki na msanii, Elly da Bway, ameachia wimbo wake mpya ‘Mabovu’. Ngoma hiyo imetayarishwa na yeye mwenyewe, isikilize…
Fainali ya NBA: Golden State Warriors waendeleza ubabe kwa Cavaliers
Michezo

Fainali ya NBA: Golden State Warriors waendeleza ubabe kwa Cavaliers

Timu ya kikapu ya Golden State Warriors imefanikiwa kushinda fainali yake ya pili ya NBA dhidi ya Cleveland Cavaliers. Katika…
Jezi za Nigeria zagombaniwa kwenye duka la Nike Uingereza
Michezo

Jezi za Nigeria zagombaniwa kwenye duka la Nike Uingereza

Jezi mpya za nyumbani za timu ya taifa ya Nigeria ambazo zitatumika kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2018, zimemalizika…
Pochettino afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kurithi mikoba ya Zidane ndani ya Madrid
Michezo

Pochettino afunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kurithi mikoba ya Zidane ndani ya Madrid

Kocha wa Tottenham Hotspurs, Mauricio Pochettino, amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuenea kwa tetesi za kuwa kwenye mipango…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents