Hili ndio Aslay alimshauri Nandy kulifanya kwenye ‘Kivuruge’
Burudani

Hili ndio Aslay alimshauri Nandy kulifanya kwenye ‘Kivuruge’

Unamfahamu aliyesababisha video ya ‘Kivuruge’ itengengenezwe kwenye mazingira ya kawaida ambayo inaonekana gharama zake ni za chini zaidi? Kupitia kipindi…
Mbabe wa Novak Djokovic atembeza kipigo kingine, atinga nusu fainali kwa kishindo
Michezo

Mbabe wa Novak Djokovic atembeza kipigo kingine, atinga nusu fainali kwa kishindo

Mcheza tenesi kutoka Korea Kusini Chung Hyeon amefanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya Australian Open 2018. Chung ametinga kwenye…
Thierry Henry amkana Alexis Sanchez kwa hili
Michezo

Thierry Henry amkana Alexis Sanchez kwa hili

Thierry Henry kwa sasa amepachikwa majina mengi ya kejeli na mashabiki wa Arsenal kutokana na madai ya kumshawishi Alexis Sanchez…
Ripoti: Jay Z aipiga chini show ya Grammy 2018
Burudani

Ripoti: Jay Z aipiga chini show ya Grammy 2018

Je ulikuwa unatamani kuiona show ya Jay Z kwenye tuzo za Grammy mwaka huu? Basi msanii huyo kunauwezekano asifanye hivyo…
Lil Wayne ameleta ‘Big Bad Wolf’, sikiliza hapa
Muziki

Lil Wayne ameleta ‘Big Bad Wolf’, sikiliza hapa

Lil Wayne amekujia tena. Msanii huyo wakai anajitayarisha kuachia mixtape yake iitwayo ‘Dedication 6’ ameachia ngoma yake mpya ‘Big Bad…
Rafael Nadal ajitoa Australian Open 2018
Michezo

Rafael Nadal ajitoa Australian Open 2018

Mcheza tenesi namba boja kwa ubora duniani Rafael Nadal wa Hispania amejiondoa katika mashindano ya Australian Open 2018. Nadal amejiondoa…
Picha: Muonekano wa Willow Smith mwaka 2018 sio mchezo
Burudani

Picha: Muonekano wa Willow Smith mwaka 2018 sio mchezo

Willow Smith ameonekana kukuwa kwa haraka kila kukicha. Mtoto huyo wa mchekeshaji maarufu duniani Will Smith na mkewe Jada Smith…
Msanii mkongwe wa Afrika Kusini afariki dunia
Burudani

Msanii mkongwe wa Afrika Kusini afariki dunia

Tasnia ya muziki nchini Afrika Kusini imekumbwa na majonzi kwa kumpoteza Hugh Masekela ambaye alikuwa mpiga trumpeter mkongwe nchini humo.…
Sikiliza wimbo mpya wa msanii wa Rwanda aliyeingia kwenye Bongo Flava
Burudani

Sikiliza wimbo mpya wa msanii wa Rwanda aliyeingia kwenye Bongo Flava

Muziki wa Bongo Flava umekuwa ukitoboa nje ya mipaka ya nchi kila kukicha mpaka umeweza kutambulika Afrika na sasa hivi…
Picha: Sanchez na jezi ya Man United, Mkhitaryan na Arsenal
Michezo

Picha: Sanchez na jezi ya Man United, Mkhitaryan na Arsenal

Hakuna ubishi katika dirisha hili dogo la usajili barani Ulaya, usajili wa Alexis Sanchez na Henrikh Mkhitaryan ndio umeteka sana…
Kocha wa Hispania apata shavu kufundisha ligi kuu Uingereza
Michezo

Kocha wa Hispania apata shavu kufundisha ligi kuu Uingereza

Klabu ya soka ya Watford ambayo inashiriki ligi kuu ya Uingereza, imemtangaza kocha wake mpya baada ya kumtimua Marco Silva.…
Picha: Mastaa walivyotokea kwenye Red Carpet ya SAG Awards
Burudani

Picha: Mastaa walivyotokea kwenye Red Carpet ya SAG Awards

Usiku wa Jumapili hii zimetolea tuzo za filamu za Screen Actors Guild Awards (SAG Awards) katika ukumbi wa Shrine Auditorium…
Orodha ya washindi wa tuzo za SAG Awards, ‘Three Billboards Outside Ebbing, Missouri’ ni moto
Burudani

Orodha ya washindi wa tuzo za SAG Awards, ‘Three Billboards Outside Ebbing, Missouri’ ni moto

Tuzo za filamu za Screen Actors Guild Awards (SAG Awards) zimetolewa Jumapili hii katika ukumbi wa Shrine Auditorium mjinI Los…
George Weah kukalia kiti cha Urais Liberia leo
Habari

George Weah kukalia kiti cha Urais Liberia leo

Rais mteule wa Liberia George Oppong Ousman Weah ambaye pia amewahi kuwa mchezaji bora wa soka wa dunia, anatarajiwa kuapishwa…
Man United hawana mpango na Ronaldo, Sanchez anawatosha
Michezo

Man United hawana mpango na Ronaldo, Sanchez anawatosha

Klabu ya soka ya Manchester United haina mpango wa kumsajili tena mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo ambaye amekuwa na…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents