Mlemavu maarufu duniani apata watoto mapacha
Habari

Mlemavu maarufu duniani apata watoto mapacha

Msemaji maarufu duniani raia wa Australia mwenye ushawishi mkubwa ambaye pia amezaliwa akiwa na ulemavu wa mikono na miguu, Nicholas…
Singida United yamng’oa beki kisiki wa timu ya taifa Ghana
Michezo

Singida United yamng’oa beki kisiki wa timu ya taifa Ghana

Klabu ya soka ya Singida United imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa kati kutoka timu ya taifa ya Ghana, Malik…
Picha: Yaliyojiri kwenye usiku wa Zari All White Party Uganda
Burudani

Picha: Yaliyojiri kwenye usiku wa Zari All White Party Uganda

Zari All White Party ni moja kati ya show zinazofanya vizuri katika ukanda wa Afrika Mashariki kutokana na watu wanaohudhuria…
New Music: Cardi B f/ 21 Savage – Bartier Cardi
Muziki

New Music: Cardi B f/ 21 Savage – Bartier Cardi

Rapper wa kike ambaye anatikisa kwa sasa kwenye muziki wa Hip Hop, Cardi B ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Bartier…
Khaligraph Jones atoa sababu ya kuchelewa kutoka kwa wimbo aliomshirikisha Ice Prince
Burudani

Khaligraph Jones atoa sababu ya kuchelewa kutoka kwa wimbo aliomshirikisha Ice Prince

Rapper hatari kutoka Kenya, Khaligraph Jones amefunguka sababu za kuchelewa kutoka kwa ngoma yake aliyomshirikisha Panshak Zamani maarufu kama Ice…
Picha: Huu ndio muonekano mpya wa nywele za Chidinma kwenye kufunga mwaka
Burudani

Picha: Huu ndio muonekano mpya wa nywele za Chidinma kwenye kufunga mwaka

Music with a fashion. Msanii Chidinma Ekile maarufu kama Chidinma kutoka Nigeria ameamua kukaribia kuuaga mwaka 2017 kwa kuja na…
Prince Harry na Meghan Markle waweka wazi picha zao walivyovalishana pete
Burudani

Prince Harry na Meghan Markle waweka wazi picha zao walivyovalishana pete

Picha za Prince Harry na mpenzi wake Meghan Markle walizosherehekea kuvalishana pete ya uchumba mapema mwezi uliopita zawekwa hadharani. Picha…
Picha: Staa wa Korea Kusini aliyejinyonga azikwa leo
Burudani

Picha: Staa wa Korea Kusini aliyejinyonga azikwa leo

Hatimaye msanii wa muziki kutoka kundi la Shinee Korea Kusini, Kim Jong-hyun ambaye alijinyonga Jumatatu hii amezikwa leo. Mwili wa…
Picha: Watu 14 wajeruhiwa mjini Melbourne, Australia
Habari

Picha: Watu 14 wajeruhiwa mjini Melbourne, Australia

Watu zaidi ya 14 wamejeruhiwa kwa kugongwa na gari lililokuwa likiendeshwa kwa mwendo kasi katika mji wa Melbourne nchini Australia.…
Method Mwanjali apewa mkono wa kwaheri Msimbazi
Michezo

Method Mwanjali apewa mkono wa kwaheri Msimbazi

Klabu ya soka ya Simba SC imethibitisha kuachana na beki wao kisiki ambaye pia alikuwa kepteni wa timu hiyo kutoka…
Khloe Kardashian athibitisha kuwa na ujauzito
Burudani

Khloe Kardashian athibitisha kuwa na ujauzito

Khloe Kardashian ameamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi. Mrembo huyo amethibitisha kuwa na ujauzito wake wa kwanza wa mpenzi wake…
Video: Taylor Swift na Future walivyotengeneza kichupa cha ‘End Game’
Burudani

Video: Taylor Swift na Future walivyotengeneza kichupa cha ‘End Game’

Je unatamani kuiona video ya wimbo mpya ‘End Game’ wa Taylor Swift ambao amemshirikisha Future na Ed Sheeran? Basi unatakiwa…
EFL Cup: Man United macho kodo, Chelsea mbele kwa mbele
Michezo

EFL Cup: Man United macho kodo, Chelsea mbele kwa mbele

Usiku wa kuamkia leo umekuwa mbaya kwa klabu ya Manchester United baada ya kutupwa nje ya mashindano ya kombe la…
Lewis Hamilton aonekana kukalia kuti kavu Mercedes
Michezo

Lewis Hamilton aonekana kukalia kuti kavu Mercedes

Lewis Hamilton kwa sasa anaweza akawa hana furaha kubwa baada ya kitumbua chake kuonekana kuingia mchanga. Dereva huyo wa magari…
Music: Gumbo – Sweet
Muziki

Music: Gumbo – Sweet

Msanii wa Bongo Flava Gumbo ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Sweet’. Ngoma hiyo imetayarishwa na Mona Gangstar.
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents