Kocha Carlos Carvalhal aikimbia Swansea
Michezo

Kocha Carlos Carvalhal aikimbia Swansea

Kocha wa Swansee City, Carlos Carvalhal ameachana na klabu hiyo iliyokuwa inashiriki ligi kuu ya Uingereza msimu uliomalizika wiki iliyopita.…
Picha: Maandalizi ya ndoa ya Prince Harry na Meghan Markle
Habari

Picha: Maandalizi ya ndoa ya Prince Harry na Meghan Markle

Tukio ambalo linasubiriwa kwa hamu kubwa duniani kote ni kushuhudia ndoa ya Prince Harry na Meghan Markle inayotarajiwa kufanyika Jumamosi…
Joe Hart atoa povu zito kwa kutemwa kwenye kikosi cha Uingereza kitakachoshiriki kombe la dunia
Michezo

Joe Hart atoa povu zito kwa kutemwa kwenye kikosi cha Uingereza kitakachoshiriki kombe la dunia

Ndoto ya kila mchezaji wa soka katika kipindi hiki ni kuhakikisha anawekwa kwenye orodha ya kuitumikia timu yake ya taifa…
Picha: Drake apata mpenzi mpya wa miaka 22
Burudani

Picha: Drake apata mpenzi mpya wa miaka 22

Drake humtoi linapokuja suala la warembo tena wakali. Rapper huyo amedaiwa kuingia kwenye mahusiano na mwanamitindo wa mjini Toronto, Malaika…
New Video: Lulu Diva f/ Rich Mavoko – Ona
Videos

New Video: Lulu Diva f/ Rich Mavoko – Ona

Msanii wa muziki Bongo, Lulu Diva ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Ona’ ambayo amemshirikisha Rich Mavoko.Tazama video hiyo hpa…
Mpoto amuweka Harmonize kwenye ngoma yake mpya
Burudani

Mpoto amuweka Harmonize kwenye ngoma yake mpya

Uliwahi kufikiria kama unaweza ukamuona msanii kama Harmonize kwenye ngoma ya Mrisho Mpoto? Basi wawili hao tayari wameshapika ngoma ambayo…
Ufaransa yaweka hadharani silaha zake za kombe la dunia, Benzema, Martial, Payet nje
Michezo

Ufaransa yaweka hadharani silaha zake za kombe la dunia, Benzema, Martial, Payet nje

Kocha Didier Deschamps wa tmu ya taifa ya Ufaransa ametangaza kikosi cha wachezaji wake 23 ambao wataenda kucheza michuano ya…
New Video: Nasi f/ Ibra Nation – Umeniroga
Videos

New Video: Nasi f/ Ibra Nation – Umeniroga

Mtangazaji na rapper Nasi ameachia video ya ngoma yake mpya inayoitwa ‘Umeniroga’ ambao amemshirikisha. Tazama video hiyo hapa chini.
New Video: Molove Abby – Lau Nafasi (Kilwa Jazz Band Cover)
Videos

New Video: Molove Abby – Lau Nafasi (Kilwa Jazz Band Cover)

Msanii Molove Abby ameachia video yake mpya ambao ni cover ya wimbo wa ‘Lau Nafasi’ uliowahi kuimbwa na Kilwa jazz…
Picha: Rais Magufuli alivyozindua kituo cha uwekezaji cha JWTZ na viwanda vya Suma JKT
Habari

Picha: Rais Magufuli alivyozindua kituo cha uwekezaji cha JWTZ na viwanda vya Suma JKT

Leo Alhamisi ya Mei 17, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amezindua kituo cha uwekezaji…
Buffon atangaza kuondoka Juventus
Michezo

Buffon atangaza kuondoka Juventus

Golikipa mkongwe wa Juventus Gianluigi Buffon ametangaza kuondoka kwenye timu hiyo baada ya kuitumikia kwa kipindi cha miaka 17. Buffon,…
John Legend na mkewe Chrissy Teigen wapata mtoto wa pili
Burudani

John Legend na mkewe Chrissy Teigen wapata mtoto wa pili

John Legend na mke wake, Chrissy Teigen wamepata mtoto wao wa pili ambaye anadaiwa ni wakiume. Wawili hao wamedaiwa kupata…
Walid aeleza sababu za Bongo Fleva kutochezwa sana Nigeria (+video)
Burudani

Walid aeleza sababu za Bongo Fleva kutochezwa sana Nigeria (+video)

Msanii Walid ambaye yupo chini ya lebo ya Patoranking ameeleza kiundani sababu za muziki wa Bongo Fleva kutochezwa sana kwenye…
Video: African Reconnect ya Afrika Kusini yatoa elimu kwa wanawake
Habari

Video: African Reconnect ya Afrika Kusini yatoa elimu kwa wanawake

Shirika lisilokuwa la kiserikali la Afrika Kusini, African Reconnect wamefanya mkutano wao na waandishi wa habari Jumatano hii kwenye ukumbi…
Yvonne Chaka Chaka alivyomfagilia Nyerere kwenye wimbo wake wa kiswahili (+video)
Burudani

Yvonne Chaka Chaka alivyomfagilia Nyerere kwenye wimbo wake wa kiswahili (+video)

Yvonne Chaka Chaka amewashangaza watu kwa kumsifia Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere kwenye wimbo wake alioimba kwa lugha ya…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents