Nimekuja Dar kumuona mtoto wangu Alikiba – Yvonne Chaka Chaka (+video)
Burudani

Nimekuja Dar kumuona mtoto wangu Alikiba – Yvonne Chaka Chaka (+video)

Msanii mkongwe Afrika Kusini Yvonne Chaka Chaka ameeleza sababu kubwa ya kuja Tanzania ni kumuangalia mtoto wake Alikiba na pia…
Korea Kaskazini watishia kuvunja mkutano wa Kim Jong-un na Trump
Habari

Korea Kaskazini watishia kuvunja mkutano wa Kim Jong-un na Trump

Huenda mkutano wa Rais Donald Trump wa Marekani na kiongozi Kim Jong-un wa Korea Kaskazini usifanyike tene. Taarifa hiyo imetolewa…
Geoffrey Lea wa Azam TV arejea tena Clouds Media
Michezo

Geoffrey Lea wa Azam TV arejea tena Clouds Media

Mchambuzi wa soka mashuhuri nchini Geoffrey Lea, amerejea tena kwenye kituo chake cha awali, Clouds FM. Geoffrey Lea akiwa ameshika…
Mtoto wa Marcelo awashangaza wachezaji wa Real Madrid
Michezo

Mtoto wa Marcelo awashangaza wachezaji wa Real Madrid

Like father, like son. Mtoto wa mchezaji Marcelo wa Real Madrid, Enzo Alves ameonyesha kufuata nyayo za baba yake tena…
Walid azungumzia kolabo yake na Patoranking na mkataba wao kiundani (+video)
Burudani

Walid azungumzia kolabo yake na Patoranking na mkataba wao kiundani (+video)

Walid Ali ambaye anafanya kazi na Patoranking ameelezea kiundani kuhusu mkataba wake na msanii huyo wa Nigeria wa kusimamia kazi…
Kocha wa Ujerumani Joachim Low aikimbia Arsenal
Michezo

Kocha wa Ujerumani Joachim Low aikimbia Arsenal

Kocha wa timu ya taifa ya Ujerumani, Joachim Low ameongeza mkataba wake wa kuendelea kuifundisha timu hiyo mpaka ifikapo 2022.…
Baba mzazi wa Meghan Markle kutohudhuria kwenye harusi ya mwanae
Habari

Baba mzazi wa Meghan Markle kutohudhuria kwenye harusi ya mwanae

Huenda Baba Mzazi wa Meghan Markle, Thomas Markle asihudhurie kwenye harusi ya mtoto wake huyo na mjukuu wa malkia wa…
Alikiba atunukiwa tuzo ya Nyota wa Mchezo
Burudani

Alikiba atunukiwa tuzo ya Nyota wa Mchezo

Ikiwa ni siku tano zimepita tangu zimepita tangu Alikiba aachie ngoma yake mpya ‘Mvumo wa Radi’ amepokea tuzo ya heshima…
Amber Rose ashindwa kuvumilia kwa 21 Savage, aandika barua yenye ujumbe mzito
Burudani

Amber Rose ashindwa kuvumilia kwa 21 Savage, aandika barua yenye ujumbe mzito

Amber Rose ameamua kuweka wazi upendo wake kwa rapper 21 Savage ikiwa ni miezi michache imepita tangu walipodaiwa kuachana. Mrembo…
Melania Trump afanyiwa upasuaji wa figo, Trump atoa neno
Habari

Melania Trump afanyiwa upasuaji wa figo, Trump atoa neno

Mke wa Rais Donald Trump, Melania Trump amefanyiwa upasuaji wa figo katika hospitali ya Walter Reed Medical Center. Kwa mujibu…
Alichokiandika Wema, Faiza na Esha Buheti baada ya Lulu kutoka gerezani
Burudani

Alichokiandika Wema, Faiza na Esha Buheti baada ya Lulu kutoka gerezani

Jumatatu hii furaha zimetawala baada ya taarifa za Elizabeth ‘Lulu’ Michael kubadilishiwa kifungo kutoka gerezani alipohukumiwa kifungo cha miaka miwili…
Video: kijana wa miaka 21 auawa na mama akijaribu kuiba watoto akiwa na bastola
Habari

Video: kijana wa miaka 21 auawa na mama akijaribu kuiba watoto akiwa na bastola

Mama mmoja ambaye ni afisa wa jeshi la polisi nchini Brazil, Katia da Silva Sastre, 42, ameonyesha ushujaa wake katika…
Wema Sepetu aeleza sababu za kushindwa kufika kwenye uzinduzi wa filamu ya Aunt Ezekiel
Burudani

Wema Sepetu aeleza sababu za kushindwa kufika kwenye uzinduzi wa filamu ya Aunt Ezekiel

Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu ameeleza sababu ya kushindwa kuhudhuria kwenye uzinduzi wa filamu fupi ya dakika 20 ‘MAMA’…
Neymar, Mbappe na Unai Emery washinda tuzo Ligue 1
Michezo

Neymar, Mbappe na Unai Emery washinda tuzo Ligue 1

Usiku wa jana umefanyika ugawaji wa tuzo za soka katika ligi kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1. Katika tuzo…
Man United yaipiku Man City kwa kuingiza mkwanja mrefu
Michezo

Man United yaipiku Man City kwa kuingiza mkwanja mrefu

Licha ya kushindwa kuchukua ubingwa wa ligi kuu ya Uingereza msimu huu, Manchester United imefanikiwa kuongoza kuingiza fedha nyingi za…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents