Mameneja wazembe Tanesco kuanza kuchukuliwa hatua
Habari

Mameneja wazembe Tanesco kuanza kuchukuliwa hatua

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya Kituo cha Huduma…
Biteko: Hatuna tatizo la upungufu wa umeme kwa sasa
Habari

Biteko: Hatuna tatizo la upungufu wa umeme kwa sasa

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa kwa sasa nchi haina tatizo la upungufu wa…
Makalla amrithi Makonda nafasi ya Ukatibu na Uenezi CCM
Habari

Makalla amrithi Makonda nafasi ya Ukatibu na Uenezi CCM

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo Aprili 3,2024 jijini Dar es Salaam imemteua Amos Makalla kuwa Katibu…
Jokate ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM
Habari

Jokate ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemteua Jokate Mwegelo kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM).…
Mongella Naibu Katibu Mkuu CCM Bara
Habari

Mongella Naibu Katibu Mkuu CCM Bara

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemteua John Mongella kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM bara, akichukua nafasi ya…
Ally Hapi Katibu Mkuu mpya Jumuiya ya Wazazi CCM
Habari

Ally Hapi Katibu Mkuu mpya Jumuiya ya Wazazi CCM

Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imemteua Ally Hapi kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi Tanzania. Halmashauri hiyo…
Bima ya afya kwa wote mwarobaini utekelezaji sera ya wazee
Habari

Bima ya afya kwa wote mwarobaini utekelezaji sera ya wazee

Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema kuwa kuanza kwa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote itakuwa suluhu…
Mashindano ya Gofu kumuenzi Lina kurindima Aprili 11, Morogoro
Habari

Mashindano ya Gofu kumuenzi Lina kurindima Aprili 11, Morogoro

Baada ya Awamu ya kwanza ya Mashindano ya Gofu yaliyofanyika Moshi kumuenzi mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya…
Maandalizi mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 yakamilika
Habari

Maandalizi mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 yakamilika

Serikali imesema kuwa shughuli za maandalizi kuelekea kuzindua mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2024 zakamilika. Amesema hayo, Waziri…
Mabinti watakiwa kujifunza ujasiriamali ili kujikwamua kiuchumi
Habari

Mabinti watakiwa kujifunza ujasiriamali ili kujikwamua kiuchumi

Mwakilishi wa Ofisa Maendeleo Mkoa wa Dar es Salaam, Masalida Njashi amewatoa hofu mabinti wa Kata ya Kitunda Wilaya ya…
PURA yapongezwa usimamizi wa miradi ya CSR
Habari

PURA yapongezwa usimamizi wa miradi ya CSR

Diwani wa Kata ya Songo Songo, Mkoani Lindi, Hassan Swalehe Yusuph ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli…
Halotel yatoa Msaada kwa Wanawake Wenye Mahitaji Maalumu Mtwara
Habari

Halotel yatoa Msaada kwa Wanawake Wenye Mahitaji Maalumu Mtwara

Katika kuhadhimisha mwezi wa kumsheherekeaMwanamke na kukaribisha sikuukuu za Pasaka, Halotel Tanzania yatoa msaada kwa wanawake chini ya Taasisi ya…
Vodacom, CRDB kuongeza upatikanaji wa simujanja nchini
Habari

Vodacom, CRDB kuongeza upatikanaji wa simujanja nchini

Katika jitihada za kuongeza upatikanaji na matumizi ya simu janja ilikuziba pengo la kidijitali nchini, makampuni ya Vodacom Tanzania PLC…
Masauni: Kuna Jumuiya za Kiraia zinatumika katika kusaidia makundi yenye dhima ya kigaidi
Habari

Masauni: Kuna Jumuiya za Kiraia zinatumika katika kusaidia makundi yenye dhima ya kigaidi

WAZIRI wa Mambo ya Ndan ya Nchi, Hamadi Masauni amesema kumekuwepo na wimbi la Jumuiya za Kiraia kufanya vitendo vinavyo…
Vijana EAC watakiwa kushiriki katika masuala ya kisiasa
Habari

Vijana EAC watakiwa kushiriki katika masuala ya kisiasa

VIJANA waliopo katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wametakiwa kuwa na uthubutu wa kushiriki katika masuala mbalimbali ya…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents