Msanii mchanga aeleza alivyomnasa Gigy Money na kumtumia kwenye video yake
Burudani

Msanii mchanga aeleza alivyomnasa Gigy Money na kumtumia kwenye video yake

Msanii mchanga wa muziki wa kizazi kimya Donny flavour aeleza jinsi alivyompata Gigy Money na kuwa video queen kwenye video…
Mwanamke tajiri zaidi Afrika Dos Santos kupaa zaidi baada ya kununua hisa katika benki ya BFA
Habari

Mwanamke tajiri zaidi Afrika Dos Santos kupaa zaidi baada ya kununua hisa katika benki ya BFA

Mwanamke tajiri zaidi barani Afrika Isabel dos Santos, bintiye rais wa Angola, amejiongezea utajiri baada ya kuchukua udhibiti wa benki…
Utafiti: Watu 550,000 waathirika na matumizi ya dawa za kulevya nchini
Habari

Utafiti: Watu 550,000 waathirika na matumizi ya dawa za kulevya nchini

Tatizo la matumizi ya dawa za kulevya nchini ni kubwa ambapo utafiti uliofanywa mwaka 2014 unaonyesha kuwa watu elfu hamsini…
China: Wawili wahukumiwa kwenda jela kwa kufungua benki bandia na kuwatapeli watu 400
Habari

China: Wawili wahukumiwa kwenda jela kwa kufungua benki bandia na kuwatapeli watu 400

Mahakama mjini Nanjing, China, imewafunga jela wanaume wawili waliowatapeli wateja kupitia benki bandia, vyombo vya habari vya serikali vimeripoti. Wanaume…
Wajerumani washauriwa kutembea kama ndege Penguin ili kujikinga na ajali
Habari

Wajerumani washauriwa kutembea kama ndege Penguin ili kujikinga na ajali

Madaktari nchini Ujerumani wamewashauri raia kutembea kama ndege aina ya Penguin kwa lengo la kuepuka kuteleza na kuanguka katika kipindi…
Picha: Angalia picha za Jennifer na Patrick wa Kanumba walivyokuwa wakubwa
Burudani

Picha: Angalia picha za Jennifer na Patrick wa Kanumba walivyokuwa wakubwa

Huwenda ukakutana barabarani na Hanifa Daud ‘Jennifer’ pamoja na Othman Njaidi ‘Patrick’ ambayo ni zao la marehemu Steven Kanumba na…
Nay wa Mitego kuachia wimbo mpya ‘nina jambo kubwa kwa ajili yako soon’
Burudani

Nay wa Mitego kuachia wimbo mpya ‘nina jambo kubwa kwa ajili yako soon’

Msanii wa muziki wa hip hop Nay wa Mitego wakati akiendelea kufanya vizuri na wimbo ‘Sijiwezi’ ametishia kuachia kazi mpya…
Picha/Video: Wacheza dansi 50 wafunga mtaa kwa kutumbuiza juu ya magari kusherehesha mazishi ya mwanasiasa
Habari

Picha/Video: Wacheza dansi 50 wafunga mtaa kwa kutumbuiza juu ya magari kusherehesha mazishi ya mwanasiasa

Wacheza dansi wa kike kwenye kumbi za usiku wapatao 50, wakiwa wamevalia vivazi vyeusi wamewaacha na mshangao wapita njia wakati…
Wafugaji 50 wanusurika kufa njaa, wanywa mkojo na kinyesi cha ng’ombe kunusuru maisha yao
Habari

Wafugaji 50 wanusurika kufa njaa, wanywa mkojo na kinyesi cha ng’ombe kunusuru maisha yao

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia askari wa wanyamapori wa Pori la Akiba la Selous, Kanda ya Kaskazini Mashariki Kingupira,…
Q Chief azungumzia kwanini ngoma zake hazifanyi vizuri pamoja na mapungufu ya label ya Q Mhonda
Burudani

Q Chief azungumzia kwanini ngoma zake hazifanyi vizuri pamoja na mapungufu ya label ya Q Mhonda

Msanii mkongwe wa muziki Q Chief amedai kuwa kuna mambo ambayo anakosea kwenye muziki wake ndiyo maana ngoma zake kadhaa…
Jerry Muro aiandikia barua TFF ya kuomba kupunguziwa adhabu
Burudani

Jerry Muro aiandikia barua TFF ya kuomba kupunguziwa adhabu

Hatimaye msemaji wa Yanga Jerry Muro ameinua mikono juu na kuiangukia TFF kwa kuandika barua ya kuomba kupunguziwa adhabu ya…
Billnas adai mwaka 2017 ataachia nyimbo nyingi, kuanza na moja January hii
Burudani

Billnas adai mwaka 2017 ataachia nyimbo nyingi, kuanza na moja January hii

Hit maker wa wimbo ‘Chafu Pozi’ Billnas amefunguka na kueleza mipango yake mipya ndani ya mwaka 2017 baada ya kufanya…
Awilo Longomba amwagia sifa Diamond
Burudani

Awilo Longomba amwagia sifa Diamond

Msanii mkongwe wa muziki wa dansi kutoka nchini Congo, Awilo Longomba ameshindwa kuzuia hisia zake kwa Diamond Platnumz na kuamua…
Kala Jeremiah asema ataendelea kutoa nyimbo za kuelimisha jamii ili kuijenga Tanzania bora
Burudani

Kala Jeremiah asema ataendelea kutoa nyimbo za kuelimisha jamii ili kuijenga Tanzania bora

Msanii wa muziki wa hip hop, Kala Jeremiah badaa ya kufanya vizuri na wimbo ‘Wanandoto’ amejipanga kuendelea kufanya nyimbo za…
Cheka adai ameonewa kufungiwa miaka 2 na TPBC
Burudani

Cheka adai ameonewa kufungiwa miaka 2 na TPBC

Baada ya Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini (TPBC) wiki iliyopita kutangaza kumfungia miaka miwili Bondia wa ngumi za kulipwa,…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents