Kinana: Rais Samia amedhamiria uchaguzi 2025 kuwa huru na haki
Habari

Kinana: Rais Samia amedhamiria uchaguzi 2025 kuwa huru na haki

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amehudhuria mkutano Mkuu wa ACT-Wazalendo na kufunguka kuwa Rais Samia Suluhu…
Rais Samia amteua Mgaya kuwa Mkuu mpya NIT
Habari

Rais Samia amteua Mgaya kuwa Mkuu mpya NIT

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mhandisi Dk. Prosper Mgaya kuwa Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). Kabla ya…
Mollel, Nkya watikisa michuano ya gofu kumuenzi Lina
Habari

Mollel, Nkya watikisa michuano ya gofu kumuenzi Lina

NURU Mollel wa klabu ya Arusha Gymkhana na Fadhil Nkya kutoka klabu ya Gymkhana Dar es Salaam wameibuka mabingwa katika…
Kairuki aongoza ujumbe wa Tanzania ufunguzi maonyesho ya utalii Ujerumani
Habari

Kairuki aongoza ujumbe wa Tanzania ufunguzi maonyesho ya utalii Ujerumani

Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki katika ufunguzi wa Maonesho ya Utalii ya ITB…
Female Future Program wawawezesha wanafunzi wenye mazingira magumu Mtwara
Habari

Female Future Program wawawezesha wanafunzi wenye mazingira magumu Mtwara

Mtwara. Kwa kutambua ugumu unaowakabili baadhi ya wanafunzi kukidhi mahitaji yao muhimu, taasisi ya Dido Mwanafunzi Initiative (DMI) kwa kushirikiana…
Mtoto wa miaka mitano atolewa pini kwenye mapafu
Habari

Mtoto wa miaka mitano atolewa pini kwenye mapafu

Mtoto mwenye umri wa miaka mitano, mkazi wa Jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki ametolewa pini kwenye mapafu yake…
Nukuu maarufu zaidi ya hayati Mzee Mwinyi
Habari

Nukuu maarufu zaidi ya hayati Mzee Mwinyi

“Leo nina miaka karibu 94, sina siku nyingi za kuiacha dunia. Sitaki niende huko napoenda na aibu nyuma yangu. Maisha…
Hospitali zasitisha huduma za bima ya NHIF, Serikali yasema ni kinyume na mkataba
Habari

Hospitali zasitisha huduma za bima ya NHIF, Serikali yasema ni kinyume na mkataba

Hospitali binasi zasitisha huduma za bima ya NHIF, Serikali yasema ni kinyume na mkataba Baada ya Mfuko wa Taifa wa…
Saratani ya mapafu ugonjwa uliyosababisha kifo cha Mzee Mwinyi
Habari

Saratani ya mapafu ugonjwa uliyosababisha kifo cha Mzee Mwinyi

Saratani ya mapafu ni aina ya saratani ambayo huanza katika sehemu yoyote ya mapafu. Kama inavyojulikana tayari, saratani ni hali…
Mzee Mwinyi kuzikwa Unguja visiwani Zanzibar
Habari

Mzee Mwinyi kuzikwa Unguja visiwani Zanzibar

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi anatarajiwa…
Mashindano ya Gofu kumuenzi Lina yaanza kurindima Moshi
Habari

Mashindano ya Gofu kumuenzi Lina yaanza kurindima Moshi

Michuano ya Gofu inayoitwa Lina PG Tour imeanza kurindima katika Viwanja vya TPC Moshi ambapo zaidi ya wachezaji 80 wakiwemo…
Jaji Mkuu awataka watu wasioridhishwa na maamuzi ya mahakama kukata rufaa
Habari

Jaji Mkuu awataka watu wasioridhishwa na maamuzi ya mahakama kukata rufaa

Jaji Mkuu wa Tanzania,  Prof. Ibrahim Hamis Juma ametoa rai kwa watu wasioridhishwa na maamuzi yanayotolewa katika mahakama kukata rufaa…
Wakili shauri la ndugu wanaovutana kuhusu mirathi ya Zena ajitoa
Habari

Wakili shauri la ndugu wanaovutana kuhusu mirathi ya Zena ajitoa

SAKATA la ndugu wanaovutana kwenye mirathi ya Zena Jalakhan limechukua sura mpya baada ya Wakili Edward Malando aliyekuwa akimwakilisha Salma…
Waziri Mhagama ateta na wenyeviti CCM wa mashina Peramiho
Habari

Waziri Mhagama ateta na wenyeviti CCM wa mashina Peramiho

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Jensita Mhagama Peramiho, amewapongeza Wenyeviti wa Mashina na Kata…
JKCI kuweka kambi maalum matibabu ya moyo Dar
Habari

JKCI kuweka kambi maalum matibabu ya moyo Dar

KATIKA kuadhimisha siku ya wanawake dunani Machi 8, mwaka huu, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) inatarajia kuweka kambi…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents