DStv Inogilee!

Avril akiri Ay kumwingiza kwenye muziki

Miaka_50_Avril_face

Mwanamuziki Avril alijikuta akitamka juu ya uweli wake wa kuingia kwenye gemu la Muziki, baada ya kufurahia kufika Tanzania na kufanya Show ya miaka 50 ya Uhuru, katika viwanja vya Mbaramwezi Beach siku ya 9 Dec.

Miaka_50_Avril_akiimba

Avril kutoka Kenya amesema kwamba mwanamuziki Ambwene Yesaya Ay ndiyo aliyemshawishi kuingia kwenye muziki huo, na ndiyo maana leo ametoa shukrani zake za wazi na kuvutiwa mila ya kikwazo kwa mwana kaka huyo wa Bongo.

Miaka_50_avril_akikata

Pia amesema amevutiwa sana na Wanzania kwa kudumisha Amani miaka 50, ila zaidi ni kufanya Show kwake kwa mara ya kwanza nchini Tanzania.

Miaka_50_Avril_mikono

Ila kwa mashabiki ikawa patashika nguo kuchanika, kila mmoja anatamani amshike na kumgusa hii kutokana na dada huyo kuwa na mvuto na kivazi chake alichopandia stejini.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW