Burudani

Ay atikisa India

1_Ay_India

Mwanamuziki anayetisha katika miondoko ya Bongo Fleva, Ambwene Yesaya ‘Ay’ amerudi Indi katika shoo aliyoenda kuifanya na kusema hakika ilikuwa bonge la shangwe.

Ay alitutumia picha hizi, ilikuonyesha jinsi gani anavyowajibika pande zote za Duni katika harakati za kimuziki bila kuchoka. kwa picha zaidi….

 

2_akipagawisha

Ay akiwa kwenye show India, hapa watu wakiwa ‘Nyomi’ wakimsikiliza na kuimba nyimbo alizokuwa akiimba.

Ay_akichangamsha

Ay_akiwa_na_B12

Hapa akiwa Nigeria pamoja na Hamisi Nandi ‘B 12’ wa Clouse Fm katika kipindi cha XXL

Ay_na_Fally_Ipupa

Nndani ya Nigeria Ay hapa akiwa na Fally Ipupa katika pozi la pamoja.

Ay_ndani_ya_pozi_india
Ay katika pozi la Suti.

Ay_Aki_na_Hermme_B
Ay akiwa na Aki na Hermme B,

 

 

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents