Burudani
AY na Cpwaa wazindua video za kampeni ya kuomba kura za tuzo za Channel O 2012
Ambwene Yesaya aka AY na Khalfan Ilunga aka Cpwaa wamerekodi video za kampeni ya kuomba kura za mashabiki na wapenzi wa muziki nchini ili waweze kushinda vipengele walivyotajwa.
AY ametajwa kuwania vipengele vitatu:
1: Most Gifted Male – 1E
2: Most Gifted East – 13C
3: Video of the Year – 14J
na
Cpwaa kwenye kipengele kimoja
1. Most Gifted Dance – 5F
VOTE TO +27839208406
OR WWW.CHANNELO.TV