Ay na Fa kuwasha moto Maisha Club

ay_na_Fa

mwanamuziki Hamisi Mwijuma ‘Mwana Fa’ na Ambwene Yesaya ‘Ay’ wanatarajia kuwasha moto wa nguvu katika tamasha la X BONGO NITE, pale New Maisha  Club katika LEVO za JUU. Fa anasema si la kukosa kwani usiku huo wa mach 20 juma pili, ni wa pekee kwani wanataraji kufanya makubwa, ambayo kwa muda mrefu walikuwa hawajayafanya katika matamasha yao.

Ay na Mwana Fa hivi sasa ndiyo wasanii wanaofanya vizuri kutokana na nyimbo zao hasa nyingi kati ya nyimbo hizo kuchezeka katika Night Club, wanasema nyumbani utabaki wewe lakini wenzako wote wapo X BONGO NITE, pale New Maisha  Club

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW