Burudani
AY na FA kuzindua Nairobi
Mwana FA na AY wanatarajia kutua jijini Nairobi Ijumaa ijayo kwa ajili ya kutoa burudani ndani ya tamasha la Safaricom Face-Off.
Kwa mujibu ya manager wao wa Kenya, Maleek Buddy, wakali hao watatumia nafasi hiyo kuzindua collabo yao mpya ‘Usije Mjini’ ambayo tayari inafanya vizuri sana katika chati hapa Bongo.
Kuna uwezekano mkubwa kuwa mwandada Ray C pia atapata nafasi ya kuimba katika tamasha hilo.