Burudani

Ay na Fa ndani X bongo nite

1_Fa_na_ay_kati_kati

Mkali wa Falsafa na mkali wa staili walipokutana jukwaa moja, yaani Ambwene Yesaya ‘Ay’ na Hamisi Mwijuma ‘Fa’, hakika ilikuwa buludani ya aina yake katika  usiku wa X BONGO NITE, pale New maisha club kwani walitoa buludani ya nguvu, huku mwana Fa akiutangaza rasmi wimbo wake mpya ukija kwenye video wa Unanijua Unanisikia.

Mwana Fa pia alisema video yake ataanza kuisambaza hivi karibuni, ambayo anaomba mashabiki wake waingoje kwa hamu.

Ay

Ay akisababisha, katika ukumbi wa New Maisha

Ay_fA_BONGE

Wakati Ay na Fa wakiimba, ndipo akapanda bonge mmoja na kuanza kukata mauno huku akicheza, huazi amini jinsi alivyokuwa na kitambi na alivyoweza kucheza

Ay_tishet_nyeupe

Fa_na_ay

B_12

B 12 wa XXL  pale Clouse Fm, kwenye mjengo wa Mweupe, naye alikuwepo katika show, na hapa akashow love na Bongo5

Fa_Shetta

Hakika kila msanii mkongwe anakuwa na mtu wake anayempenda hasa kwa hawa wasanii wachanga na wanaochipukia kwa kasi, katika siri hizo zilizopo moyoni mwao Mwana Fa, yeye aliivunja siri yake kwa kusema katika wasanii wanaokuja kwa kasi, anaowapenda ni wawili.

Wa kwanza kijana toka Morogoro, Belle 9, na kijana mwingine toka Ilala Dar es salaa katika kundi la  Dar Stamina , Shetter

Stive_B_na_Jaffarai

Stive ‘Dj Skills’ na Jaffarai wakiwa kwenye pozi, wakisubiri kuingia kuingia ndani.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents