Habari

AY ndani ya Tokyo – Moscow

AY ndani ya Tokyo - Moscow

Kwa taarifa zilizotufikia hapa Bongo5 kuwa Mzee wa Commercial  AY anatarajiwa kudondoka ndani ya Russia katika jiji la Moscow na kufanya show kali ndani ya ukumbi wa TOKYO CLUB Jumamosi ya tarehe 18  Desemba mwaka huu.

 

 

Kwa mujibu wa kampuni itayompeleka AY ijulikanayo kwa jina la Hustlers Entertainment wameelezea kuwa AY atafanya  shoo  katika tamasha hilo lijulikanalo kwa jina la East Africa Bash.

Hivo washabiki  wa muziki Moscow kaeni mkao wa kuruka hits zinazotamba ndani ya Africa kutoka kwa Mzee wa Commercial AY

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents