Tupo Nawe

Azam FC wampeleka Donald Ngoma Afrika Kusini

Mshambuliaji mpya wa klabu ya Azam FC, Donald Ngoma, jana usiku ameondoka nchini kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya kufanyiwa vipimo vya afya.


Donald Ngoma akiwa safarini kuelekea Afrika Kusini

Ngoma anatarajiwa kufanyiwa vipimo hivyo ili kuona ni kwa kiasi gani majeraha yaliyokuwa yakimsumbua yamepona.

Kwenye safari hiyo ngoma ameongozana na daktari wa Azam, Dr. Mwanandi Mwankemwa.

Vipimo hivyo vitanza kufanyika Jumatatu hii kwenye Hospitali ya Vincent Pallotti iliyopo mjini Cape Town.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW