Michezo

Azam FC yaiva sasa ipo tayari kuivaa Lipuli

Wachezaji wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, wamefanya mazoezi jioni hii ndani ya Uwanja wa Samora, mkoani Iringa ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya kuelekea mchezo wao wa kirafiki kesho Jumatano dhidi ya Lipuli ya huko.

Timu ya wana ramba ramba Azam FC ipo katika ziara yake kwaajili ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi pamoja na michuano mengine mbali mbali.

By Hamza Fumo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents