Michezo

Azam waomba mechi zao za Simba na Yanga kurudi Taifa, sababu ikiwa ni uwezo mdogo wa Azam Complex

Uongozi wa klabu ya Azam FC, umeliandikia barua Shirikisho la mpira wa miguu nchini TFF kuliomba kurudisha michezo yao ya nyumbani dhidi ya Simba na Yanga kufanyika Uwanja wa Taifa badala ya kuchezwa Azam Complex kama ilivyozoeleka.

 

Wakati sababu za maombi ya kubadilishiwa uwanja ni kutokana na uwezo mdogo uliyokuwa nao dimba la Azam Complex katika kuingiza mashabiki na watazamaji.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents