MichezoPicha

B-Ball Kitaa: Adam Juma amkalisha Karabani, mastaa kibao wajitokeza, Country Boy ashoot video, Adam na Nisher wakutana (picha)

Mechi ya shilingi milioni mbili ya waongozaji maarufu wa video nchini, Ijumaa hii (Feb, 7) imefanyika na kuishuhudia timu ya Adam Juma ikibuka na ushindi wa vikapu 81 kwa 74 dhidi ya timu ya Karabani.

Timu ya Adam Juma ikishangilia ushindi na kunyakua shilingi milioni moja
Timu ya Adam Juma ikishangilia ushindi na kunyakua shilingi milioni moja

Timu ya Adam Juma iliyokuwa imevalia jezi nyekundu zilizokuwa zimeandikwa ‘Next Level’ ndio ilikuwa ya kwanza kuingia uwanjani hapo kwa mbwembwe nyingi na kuufanya uwanja wa kikapu wa Gymkhana jijini Dar es Salaam kulipuka kwa shangwe kubwa wakati muongozaji huyo maarufu wa video alipokuwa akiingia na kusindikizwa na kundi la wasichana warembo.

Adam Juma akiingia uwanjani
Adam Juma akiingia uwanjani

Benchi la Adam Juma
Adam Juma akiwa kwenye benchi lake

Karabani alifuatia kwa kutanguliwa na vijana wa sarakasi waliokuwa wakicheza kwa kufuatiliza wimbo maalum wa Karabani aliotunga kumdiss Adam na huku akiwa amesindikizwa na wasichana warembo wa kizungu.

Karabani na wapambe wake wakiingia uwanjani
Karabani na wapambe wake wakiingia uwanjani
IMG_6423
Benchi la Karabani
Karabani akiwa kwenye benchi lake
Baada mafahari hao kuingia uwanjani hapo, wote kwa pamoja walienda katikati ya uwanja kusalimiana na kupigana vijembe na mikwara pamoja na kutambulisha timu zao.
IMG_6428
Huniwezi Wewe: Adam Juma na Karabani wakisalimiana

Nchakalih akionesha kitita kilichoshindaniwa
Nchakalih akionesha kitita kilichoshindaniwa huku Adam Juma akiendelea na majigambo kwa Karabani

IMG_6414
MC wa mechi, Nchakalih akiwatambulisha mahasimu kwenye mchezo huo
IMG_6597

Picha ya pamoja ya timu ya Adam Juma
Picha ya pamoja ya timu ya Adam Juma

Timu ya Adam Juma

Adam Juma akisaliamiana na wachezaji wa timu ya Karabani
Adam Juma akisaliamiana na wachezaji wa timu ya Karabani
Picha ya pamoja ya timu ya Karabani
Picha ya pamoja ya timu ya Karabani

IMG_6440

Mchezaji wa timu ya Karabani
Mchezaji wa timu ya Karabani

Mechi hiyo ilianza kwa kasi huku timu zote mbili zikionekana kukamiana na kulinda zaidi ngome zao zisishambuliwe na hivyo kufanya magoli mengi yawe ya mitupo ya mbali, lay-ups chache na hakuna dunk hata moja. Kuna wakati mechi ilipwaya na kukosa kasi lakini ikaja kuchangamka mwishoni.

IMG_6499
Mchezaji wa timu ya Karabani akirusha mtupo wa adhabu
Mchezaji wa timu ya Karabani akirusha mtupo wa adhabu
Mchezaji wa timu ya Adam Juma, Kisoki
Mchezaji wa timu ya Adam Juma, Kisoki
Mchezaji wa timu ya Karabani akishusha pumzi
Mchezaji wa timu ya Karabani akishusha pumzi
Kibao cha magoli
Kibao cha magoli

Adam Juma akaibuka na ushindi wa vikapu 81 kwa 74 dhidi ya timu ya Karabani.

Karabani akikabidhi
Karabani akikabidhi shilingi milioni moja kwa Adam Juma

Adam Juma akimpoza Karabani baada ya timu yake kushinda
Adam Juma akimpoza Karabani baada ya timu yake kushinda

Adam Juma akiongea baada ya timu yake kuibuka na ushindi
Adam Juma akiongea baada ya timu yake kuibuka na ushindi

IMG_6599

IMG_6607

IMG_6633

Mechi ilisindikizwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali

Slim Sal
Rapper Slim Sal akitumbuiza

IMG_6228
Rapper akitumbuiza wakati wa mapumziko
Dj Pac akisimamia burudani yote uwanjani hapo
Dj Pac akisimamia burudani yote uwanjani hapo

Mastaa kibao walijitokeza kushuhudia mechi hiyo
Diamond Platnumz alikuwepo pia kushuhudia mechi hiyo
Diamond Platnumz alikuwepo pia kushuhudia mechi hiyo

Agnes Masogange akiwa na Linex
Agnes Masogange akiwa na Linex

Aika na Vanessa Mdee
Aika na Vanessa Mdee

Godzilla
Godzilla
Jan B, Joh Makini, Nisher na Micky
Jan B, Joh Makini, Nisher na Micky

Jux na Izzo B
Jux na Izzo B

Marco Chali
Marco Chali

Namshalii akiwa na Nahreel
Namshalii akiwa na Nahreel

Profesa J alikuwepo kuwaipa support timu ya  Adam Juma
Profesa J alikuwepo kuwaipa support timu ya Adam Juma

Shetta
Shetta

IMG_6353
DeeAndy na Nickson George wa Clouds FM/TV

IMG_6512
Godzilla na Salama Jabir

IMG_6520
Adam Mchomvu

IMG_6565
Diamond Platnumz alikuwepo pia kushow some love

IMG_6634

Batu Tale
Batu Tale

DJ Choka, Salama Jabir na Godzilla
DJ Choka, Salama Jabir na Godzilla

Warembo kibao walihudhuria

DeeAndy akipima mkono wake kwa mrusho wa pointi mbili
DeeAndy akipima mkono wake kwa mrusho wa pointi mbili

Mrembo akifuatulia mechi kwa makini
Mrembo akifuatulia mechi kwa makini

Mrembo akijaribu kurusha mpira golini
Mrembo akijaribu kurusha mpira golini

Mrembo akisalimia na rafiki yake
Mrembo akisalimia na rafiki yake

Mrembo wa Sprite
Mrembo wa Sprite

Msichana akijaribu bahati yake kwa kurusha mtupo wa pointi mbili
Msichana akijaribu bahati yake kwa kurusha mtupo wa pointi mbili

Msichani akijaribu kufunga pointi mbili
Msichana akijaribu kufunga pointi mbili

Warembo wa kizungu wakifuatilia mechi
Warembo wa kizungu wakifuatilia mechi

Warembo wakifurahia mechi
Warembo wakifurahia mechi

Warembo wakishuhudia mechi

Wasichana wa timu ya Adam Juma
Wasichana wa timu ya Adam Juma

IMG_6137

IMG_6187

IMG_6199

IMG_6250

IMG_6259

IMG_6309

IMG_6310

IMG_6367

Country Boy, Young Killer na Young Dee washoot video ya wimbo wao ‘Akili za Usiku’

Country Boy, Young Killa na Young Dee wakishoot video yao
Country Boy, Young Killa na Young Dee wakishoot video yao

IMG_6267

IMG_6283

IMG_6290

IMG_6336

Young Dee na Young Killer

Young Dee

Young Killer

Adam na Nisher wakutana

Adam Juma na Nisher waliowahi kutupiana vijembe mwaka jana, walikutana na kuonekana kuweka tofauti zao pembeni huku Nisher akisisitiza kuwa kuna umuhimu wawili hao kufanya collabo kwenye kazi moja ya video.

Nisher na Adam Jiuma

IMG_6637

IMG_6638

IMG_6639

IMG_6643

IMG_6646

IMG_6648

IMG_6650

IMG_6651

IMG_6652

IMG_6653

IMG_6655

IMG_6659

Picha zingine
Andrew Mahiga
Andrew Mahiga

Mtoto anayeishi katika mazingira magumu akiwa na wenzake kushuhudia mchezo huo
Mtoto anayeishi katika mazingira magumu akiwa na wenzake kushuhudia mchezo huo

Steve Mishe Mishe na Michael Baruti wakiwa na rafiki yao
Steve Mishe Mishe (Nyama Choma Festival) na Michael Baruti wakiwa na rafiki yao

Wapenzi wa mchezo wa kikapu wakifuatilia kwa makini mchezo
Wapenzi wa mchezo wa kikapu wakifuatilia kwa makini mchezo

Asha Baraka na Queen Darleen wakimpongeza mchezaji wa timu ya Karabani, Baraka
Asha Baraka na Queen Darleen wakimpongeza mchezaji wa timu ya Karabani, Baraka

IMG_6118

IMG_6178

IMG_6185

IMG_6189

IMG_6196

IMG_6201

IMG_6254

IMG_6269

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents