Burudani

Baada ya Diamond kusema anampenda Mimi Mars, waonekana wakiogelea pamoja nyumabni kwa Diamond (+Video)

Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz na @mimi_mvrs11 wameonekana wakiogelea wote nyumbani kwa @diamondplatnumz pamoja na @hanstonee01

Stori hii imekuwa kubwa kutokana na kauli aliyoitoa @diamondplatnumz kuwa ANAMPENDA SANA MIMI MARS ILA TIMING SIJUI ANAKOSEAGA WAPI

@mimi_mvrs11 kuonekana kwa @diamondplatnumz huenda tukasiki chochote kwani @diamondplatnumz hakuomba Collabo kwa @mimi_mvrs11 bali alisema anampenda. Kwa maoni yako unahisi kitu gani kinaendelea kati ya @diamondplatnumz na @mimi_mvrs11

https://www.youtube.com/watch?v=zOmNQqNiK4g

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents