Burudani

Baada ya Dudu Baya kuacha pombe, ‘Natamani kukutana na Mch. Gwajima na Mzee wa Upako’

Baada siku ya jana msanii Dudu Baya kutangaza kuacha pombe, leo amewataja viongozi wa dini ambao anatamani kukutana nao.

Dudu Baya amesema kuacha pombe ni kazi ngumu ila yeye ameweza hivyo anahitaji  kuwa karibu na viongozi wa dini ili waweze kumuongoza.

“Nitamani kukutana na wachungaji kama Mwakasege, Mama Lwakatare, Gwajima na Mzee wa Upako naamini wale ni watumishi wa Mungu wana madini, kwa hiyo naamini nitaongeza uwezo zaidi,” amesema Dudu Baya.

Msanii huyo kwa sasa anatamba na ngoma na ngoma inayokwenda kwenda kwa jina

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents