Burudani

Baada ya ile drama ya promota wa kike kumponda Prezzo, na kusema Diva alimlipia gharama zote alipokuja Tanzania ili aonekane naye, Diva afunguka

Well, jana (June26) tuliandika story juu ya mwanamke mmoja mKenya aliyejitambulisha kuwa ni promota anayeishi Ujerumani anayeitwa Ashley Toto, ambaye aliandika status katika ukurasa wake wa facebook akimponda Cash Money Brother Prezzo na kumpa misumari ya moto ikiwa ni pamoja na kusema Prezzo hana cash ya kutosha na anawezeshwa na wanawake. Hapo ndipo alitajwa Diva (japo hakumtaja kwa jina) na kusema alimgharamia kila kitu Prezzo alipokuja Tanzania ili tu aonekane naye au kwa lugha nyingine ‘kujipendekeza’ (maneno yangu).

PREZZ

Sasa Diva Loveness Love “The Bawse” mtangazaji wa Clouds FM hajachukua muda mrefu kujibu baada ya kuisoma story hiyo hapa Bongo5. Diva amemjibu Ashley Toto kupitia twitter, wait a minute! kabla sijakuwekea alichomjibu Toto kwanza nikujuze kuwa amefanya Interview na rapcellency Prezzo, ametweet kuwa atai upload leo, is it to say the dude is in the city (Dar) already ?? tutayajua hayo tukishaisikia hiyo Interview ambayo nahisi itakuwa na majibu ya mambo mengi kuhusu drama zilizoishajitokeza hapa katikati…….by the way na Huddah anaingia Dar kesho Ijumaa (jiongeze kujua sababu za mimi kugusia ujio wake hapa!) Well, back to the story.

Diva Loveness Love baada ya kuisoma habari ya promota huyo mKenya aishiye Ujerumani hapa bongo 5, alitweet kumjibu Toto kuhusiana na Prezzo aliyemshutumu kuwezeshwa na wanawake ili kulinda image yake na kumsema Diva alimgharamikia Prezzo alipokuja Tanzania ili aonekanane naye, haya ndiyo majibu ya Diva…..

‏-@DivaTheBawse: Duh… That woman who is busy dissing @AMB_Prezzo I feel sorry for you. Matter of fact u need to get yo facts right. Shame man.

-“you know. She is crazy. He is The CMB. I just lol’d after that story, saw it @bongofive and I was like whaaat lmaoo!”.

‏- I just saw the story late as I was at the village. Back in town and am like Owkay. This woman man, she is insane!. Wtf

– Lol. Prezzo is The President. She nids to leave him alone , she is a hater ”

– You give some to prezzo? Does it make sense guys? How hard he need so called money? Has she ever thought the meaning of CMB?

‏-Been told I just gave Prezz some what?! Hahaa … Talking really is cheap. Muacheni @AMB_Prezzo plizzz. #President truly is a trend setter

‏- Had interview wit @AMB_Prezzo will Upload it tomorrow thou!. #Cloudsfm #AlaZaRoho #DivaTheBawse thank you

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents