Habari

Baada ya kimya cha miaka 21, Kris Kros watangaza kurejea tena!

Kris Kros

Ni miaka 21 sasa imepita tangu Chris “Mac Daddy” Kelly na Chris “Daddy Mac” Smith waliokuwa wakiunda kundi la Kris Kros wasikike. Waliwahi kuhit na ngoma kibao ukiwemo Jump. Na sasa wametangaza kurejea tena ambapo wataperform kwenye sherehe ya kuadhimisha miaka 20 ya So So Def Recordings jijin Atlanta mwezi ujao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents