Videos

Baada ya kuachia ‘Subiri Kwanza’ Rapa Nacha aachia ‘Boss Mpya’ na Gnako (Music Video)

Baada ya kuachia ngoma yake iliyomuweka kwenye ramani ya muziki ‘Subiri kwanza’ aliyomshirikisha Stamina, Rapa Nacha Music ameachia video ya ngoma yake mpya ya ‘Boss Mpya’ mdundo wa ngoma hiyo umegongwa na Bughaleez na Chizan Brain kwenye studio za Brecords na kichupa kimeongozwa na Director Lucca Swahili.

By Godfrey Mgallah

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents