Burudani

Baada ya kudondosha ‘Natamba’ ya Aslay, Shirko amkumbuka Alikiba

Producer Shirko amesema msanii ambaye kwa sasa anatamani kufanya naye ngoma ni Alikiba licha kuwahi kufanya kazi hapo awali.

 Shirko ambaye kwa sasa anajivunia ngoma mpya ya Aslay ‘Natamba’ aliyotengeneza, ameiambia Times Fm kuwa kwa sasa anahisi anaweza kutengeneza kitu cha tofauti katika muziki wa Alikiba.

“Ningetamani kufanya ngoma na Alikiba, longtime sijafanya ngoma na yeye tangu ile na Berry Black, Diamond nimeshafanya naye kazi, Chege, so Alikiba nahisi kuna kitu naweza kumtengenezea ambacho kingeleta tone mpya masikioni mwa watu na tone mpya” amesema Shirko.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents