AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Baada ya kudundwa na Mpenzi wake Kid Buu siku za nyuma, Blac Chyna aangukia kwenye penzi la Soulja Boy

Blac Chyna kupitia mtandao wa TMZ ameripotiwa kutoka kimapenzi na rapper ambaye alikiki sana siku za hivi karibuni Soulja Boy.

Hii inatokana na ile sababu ambayo ilipelekea Blac Chyna kudundwa na bwana wake wa zamani Kid Buu wakiwa mapumzikoni Hawaii na baada ya ugomvi huo Blac Chyna hakuonekana kuchukua hatua yeyote wala hakutaka kwenda hata hospitalini kutokana na kupigwa na mpenzi wake huyo.

kwa taarifa za leo mwanamitindo huyo ameonekana akitoka kimapenzi na Rapper Soulja Boy, hii ni kutokana na picha ambazo zinaendelea kusambaa mitandaoni.

By Ally Juma

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW