Habari

Baada ya kufungiwa uongozi wa hoteli ya Double Tree wasema tatizo limeshughulikiwa

Dbltreedar (600x400)

Baada ya hoteli ya kifahari ya Double Tree, iliyopo Masaki jijini Dar es Salaam, kufungiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira) kutokana na kushindwa kudhibiti maji machafu yanayotiririka kutoka katika hoteli hiyo na kumwagika baharini bila kujali uchafuzi wa mazingira, uongozi umetoa maelezo yake.

Katika taaria yake, uongozi huo umesema:

After a visit a week ago from the Ministry of Environment, it was brought to the attention of the management that the water system was malfunctioning.

Upon guidance from the Environment Management Council, investigation took place that revealed the source of the defect.

Capped Pipe

The issue has been dealt with, and appropriate action has been taken. The hotel is liaising closely with the Ministry of Environment and other consultants to prevent the reoccurrence of this incident and also find a permanent solution.
The management very much regrets this incidence and thanks the Ministry of Environment for the advice and support it has provided to the Doubletree in helping address this problem.

By

Double Tree Hotel Management

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents