Burudani

Baada ya kupita kwenye misuko suko, Maua Sama aachia video ya wimbo wake mpya ‘Iokote’

Baada ya kupitia kwenye misuko misuko kwa wiki mbili, hatimaye Maua Sama ameachia video ya wimbo wa Iokote aliomshirikisha Hanstone, video imeongozwa na Hanscana huku Audio ikigongwa na Abba.

Kupitia wimbo huu, Maua Sama alijikuta akiingia kwenye mikono ya sheria baada ya kuposti video iliyokuwa inaonesha watu wakicheza huku wakikanya Fedha ya Tanzania.

SOMA ZAIDI – Breaking: Mtangazaji wa Clouds Fm Soudybrown na msanii Maua sama wamekamatwa na Polisi

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents