Burudani ya Michezo Live

Baada ya kutangaza kuwa yuko single, Linex ataja vigezo vya mwanamke amtakaye, ambavyo ni….

Tunafahamu kuwa kwa sasa msanii Linex yuko single, sababu ameshazungumza mara kwa mara kupitia mitandao ya kijamii na pia amekanusha kuwa hana uhusiano wa kimapenzi na video vixen mrembo Agnes Masogange, lakini kama hiyo haitoshi Mkigoma huyo ametoa vigezo vya binti amtakaye kuziba nafasi ya ‘mzungu’ LOL!.

linenga


“Katika vitu nnavyoviwish sasa hivi ni kupata Mwanamke mwenye vigezo HV: A mwenye huruma na maisha yangu, B mwenye Hofu Mungu C Anaemjua Mungu, D Anaepata time Yakumuabudu Mungu, F Anaye niheshim, G Anipende mm not my fame not my money we mwenzangu sijui unataka aweje??? LOL”

Ameandika Linex katika akaunti yake ya Facebook, je kama wewe ni binti unahisi una vigezo vya kuwa first lady wa Linenga?

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW