Burudani

Baada ya kutolewa Big Brother ‘The Chase’, wapenzi LK4 wa UG na Koketso wa SA waonekana wakila bata pamoja South Africa (Picha)

Baada ya milango ya (exit) kufunguka Jumapili (June 9) kwa love birds mcheza basketball wa Uganda LK4 pamoja Koketso wa South Africa na kuiaga Big Brother, jana wameonekana wakila bata mitaa ya South Africa huku wakionekana wenye furaha.

Lk4-1

Tazama picha za wawili hawa ambao sasa hawahofii tena camera wala microphone zinazoweza kunasa kila wanachofanya au kusema.

Lk4-2

Lk4-3

Lk4-4

picha: BBAfrica TV

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents