DStv Inogilee!

Baada ya kuweka rekodi ya usajili Man City, ni mwendo wa bata kwa Riyad Mahrez (+Picha)

Mchezaji mpya wa Manchester City, Riyad Mahrez ameonekana katika mitaa akila bata na familia yake ikiwa imepita saa chache toka kusajiliwa na klabu hiyo kwa kitita cha fedha kilichoweka rekodi kwenye historia ya timu hiyo.

Rasmi Manchester City yamsajili, Riyad Mahrez kwa rekodi ya klabu

Kiungo huyo wa kimataifa wa Algeria, Mahrez amekamilisha usajili wa pauni milioni 60 mapema asubuhi ya leo na kuweka rekodi ndani ya klabu hiyo.

Mahrez mwenye shauku kubwa na Manchester ameonekana kwenye mgahawa wa Kiitalia wa San Carlo unaopatikana Uingereza akiwa karibu na familia yake.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW