Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

Baada ya kuzushiwa kumsaliti mumewe Chester Benningtons, mke wa msanii huyo atao dukuduku

Mke wa msanii marehemu Chester Benningtons, Tilinda kwa mara ya kwanza ameamua kutoa dukuduku lake kupitia ujumbe alioandika katika mtandao wa Twitter kabla ya kuripoti akaunti yake kudukuliwa.

Tilinda aliandika ujumbe unaoashiria kumpoteza mtu muhimu kwenye maisha yake huku akisikitishwa na kifo hicho lilichowaacha watoto wake bila baba.

“One week ago, I lost my soulmate and my children lost their hero — their Daddy. We had a fairytale life and now it has turned into some sick Shakespearean tragedy. How do I move on? How do I pick up my shattered soul? The only answer I know is to raise our babies with every ounce of love I have left,” ameandika Tilinda kwenye mtandao.

“I want to let my community and the fans worldwide know that we feel your love. We feel your loss as well. My babies are so young to have lost their daddy. And I know that all of you will help keep his memory alive. He was a bright, loving soul with an angel’s voice. And now he is pain-free singing his songs in all of our hearts. May God bless us all and help us turn to one another when we are in pain. Chester would’ve wanted us to do so. Rest In Peace, my love,” ameongeza.

Mazishi ya Chester Bennington, yamefanyika Jumamosi iliyopita huko Palos Verdes, Calif. huku mazishi hayo yakiwa yamehudhuriwa na watu wa chache wakiwemo familia, marafiki pamoja na kundi la Linkin Park. Kifo cha msanii huyo kilitokea wiki moja iliyopita maeneo ya nyumbani kwake Palos Verdes Estates mjini Los Angles.

Na Laila Sued

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW