Michezo

Baada ya likizo Messi na Suarez warejea Barcelona kifahari(+Picha)

Baada ya likizo ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya wachezaji wa klabu ya Barcelona ya nchini Hispania, Lionel Messi, Luis Suarez na Javier Mascherano wametua kifahari huku wakiitumia ndege binafsi wakiwa na familia zao tayari kuanza kuitumikia timu hiyo.

Lionel Messi akiwasili Barcelona baada ya likizo akitokea Argentina

Lionel Messi amerudi Barcelona baada ya kutumia kipindi cha Krismasi na mwaka Mpya nchini Argentina.

Messi pamoja na wachezaji wenzake, Luis Suarez na Javier Mascherano wote wakiwa na familia zao

Messi mwenye umri wa miaka 30, ameonekana akiwa na mtoto wake wa kiume pamoja na familia yake akiwa sambamba na wachezaji wenzake Luis Suarez na Javier Mascherano hapo jana siku ya Jumanne.

Mastaa wa Barcelona wakiwasili–El Prat Airport na ndege binafsi siku ya Jumanne mchana

Mke wa Messi, Antonella Roccuzzo 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents