Michezo

Baada ya Liverpool kumuuza Coutinho huyu ndiye anayetarajiwa kumrithi

Kwa mashabiki wa Liverpool siku ya jana na leo wapo katika kipindi kigumu baada ya Mshambuliaji wao, Philippe Coutinho kuikacha timu hiyo na kutimkia klabu ya Barcelona.

Riyad Mahrez

Habari nzuri ni kwamba Liverpool tayari wapo kwenye mazungumzo na Klabu ya Leicester City kumnunua mshambuliaji wa klabu hiyo, Riyad Mahrez ili kuziba pengo hilo.

Soma zaidi – Rasmi Philippe Coutinho ajiunga FC Barcelona

Kwa mujibu wa Mtandao wa Bein Sport umeeleza kuwa Mahrez leo ametua Liverpool kwa vipimo na usajili wake ni wa dau la Euro mi;lioni 55 na utadumu hadi 2022.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents