Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Wachezaji na mashabiki wa Man City waanza sherehe za ubingwa mitaani (Picha)

Mashabiki na wachezaji wa klabu ya Manchester City wameanza kusherehekea ubingwa wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza mara baada ya hasimu wao timu ya Manchester United kukubali kipigo cha bao 1 – 0 dhidi ya West Brom.

Mashabiki wa Manchester City wakiwa wamejitokeza sehemu mbalimbali za mitaa wakisherehekea ubingwa wao wa ligi kuu ya Uingereza

Wachezaji wa klabu ya  Manchester City wakiwa katika shamrashamra za sherehe za ubingwa

Manchester City , Vincent Kompany

Wachezaji wa Manchester City, Kyle Walker  akiwa na Vincent Kompany

Baadhi ya vyombo vya habari vikiwa navyo vimeanza kuandika ubingwa huo, Manchester City inaongoza kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza kwa kuwa na jumla ya alama 87 dhidi ya 71 za Manchester United.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW