Habari

Baada ya mateso mtoto wa miaka nane apona ugonjwa wa kuvuta sigara(+video)

Baada ya kuvuta sigara kwa miaka sita, Aldi Suganda maarufu kam Aldi Rizal  mwenye miaka nane sasa atibiwa ugonjwa huo uliokuwa ukimsumbua katika ukuaji wake.

Aldi Rizal ambaye anaishi na mama yake katika kijiji cha Teluk Kemang Sungai Lilin kusini mwa Sumatra nchini Indonesia, kwa sasa amepona na amekuwa mtoto wa kawaiada hata uzito wake uliokuwa mkubwa umepungua.

“It was hard for me to stop, If I am not smoking, my mouth taste is sour and my head feel dizzy, ameeelza mtotro huyo pia akaongeza kuwa “I am happy now. I feel more enthusiastic, and my body is feeling fresh.”

Naye mama wa kijana huyo Bi. Diana ameeleza kuwa anashukuru kuwa kijana wake amepata  matibabu ya ugonjwa huo ambao unawasumbua watoto wengi nchini humo na inakuwa ngumu kwa watoto wengi kupata matibabu.

Aldi Rizal aliigia katika orodha ya mlolongo wa watu wenye hisia za uvutaji sigara duniani. Hii ni kutokana na video yake kusambaa sehemu mbalimbali ulimwenguni.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents