Baada ya Quarantine ya WCB, Golden Boy amekuja na ya kwake (+Video)

Msanii wa muziki Golden boy ameachia video ya ngoma yake mpya ya Quarantine, Akiomba sapoti ya Watanzania Golden boy amesema haya.

“Nimeanza muziki tangu mwaka 2016 nyimbo yangu ya kwanza ilikuwa ianaitwa African dance, Kwa sasa nimetoa ngoma ya Quarantine ni wimbo wa kwanza kutoka kwenye upcoming album yangu inayojulikana kwa jina la afroholly “Mimi ni Raia wa Congo ambaye kwa sasa nipo marekani Houston Tx kwa miaka zaidi ya kumi, Jina langu halisi naitwa Richard anzuruni.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW