Burudani

Baada ya Romy Jons kuachia ngoma, Je atasainiwa kuwa msanii wa WCB?, Jibu hili hapa (+video)

Official Dj wa msanii Diamond Platnumz amefunguka baada ya kuulizwa kuwa baada ya kuachia ngoma yake na Baraka The Prince, Swali ni Je, atasainia WCB? Jibu lipo hapa:

“Pale unavyojua mimi ni Vice President na kama ni hivyo, kuna record lebel ya WCB Wasafi ambayo wasanii wake wakina Mbosso, Lavalava, Queen Darlin, Harmonise, Rich Mavoko na Rayvany. Mimi sipo kwenye WCB lebel mimi nipo peke yangu kwahiyo katika kutambulisha rasmi ujio wa RJ The Dj, mimi kama RJ the Dj najisimamia as a project sio RJ The DJ ambayo iko kwenye WCB Wasafi,” alisema Romy Jons.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents