Videos

Baada ya ‘Run Town’ Chege atua mzigo wa ‘Wafoo’

Baada ya kuachia albamu yake ya ‘Run Town’ yenye ngoma 14, mwezi Septemba mwaka huu mkali wa Bongo Flava kutoka kiumeni Chege amesg=husha mzigo pya wa ‘Wafoo’.

Video yake mpya iitwayo ‘Wafoo’ video hiyo imeongozwa na Travellah kutoka Kwetu Studios na audio imetayarishwa na Moko.

Hii ni video yake nyingine baada ya ngoma ya ‘Run Town’ kufanya vizuri. Itazame hapa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents