Tia Kitu. Pata Vituuz!

Baada ya ukurasa wa kijamii IKULU kumpongeza DiamondPlatnuzm, msanii huyo aandika ujumbe mzito

Baada ya ukurasa wa kijamii wa instagram wa Ikulu kumpongeza msanii DiamondPlatnumz kwa mchango wake wa maendeleo ya jamii ikiwemo kuchangia shule ya msingi ya Sumbawanga katika ujenzi wake hatimaye mwanamuziki huyo ameandika ujumbe wa shukrani kwa Serikali hii ya wamu ya tano kwa kutambua mchango wa sanaa.

Diamond ambaye kwa sasa yupo Simbawanga kwaajili ya tamasha lake la WasafiFestival hapo jana alikubali kubeba jukumu la kujitolea kuimalizia shule ya Msingi ya Simbawanga ambayo ilihitaji milioni 68 ili kuhakikisha imemalizika na kuanza kupokea wanafunzi mwezi Januari ambapo aliridhia kubeba jukumu hilo huku akiongezea kuwa yupo tayari kujitolea na mabati 150.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW